Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Ushauri: Napata uzito ku-move on, niongezeeni mbinu

Mi ningekua swala 5 ningemdedesa huyu mtoto.
Kama anaeza kujisimamia, ana mawazo positive ya kimaisha, hana machepere, nna uhakika tukikaa chini tukasuka mpango mbona unabamba chap kwa haraka?
Dah! Bahati imeenda na maji
 
Dah sasa wewe nani alikwambia kuwa long distance relationship zina work? Hapo lazima kidume akamatie mbususu nyingine huku wee ukiendelea na self service.

Achana nae huyo wee njoo hapa nikuwowe upate kuheshimika katika jamii. Sio watu wanakula mbususu na kusepa huku wukiwa unataabika na self service
Moja ya wanaume ninao waonaga ni mabwege ni wanaume wa sampuli hiii.

Yaani mwanaume yoyote anae haribu mitego ya mwenzie kwenye kudaka mbususu ni bwege anae karibia kuwa shoga.

Bro tangaza sera zako ukubaliwe ....punguza umama
 
Moja ya wanaume ninao waonaga ni mabwege ni wanaume wa sampuli hiii.

Yaani mwanaume yoyote anae haribu mitego ya mwenzie kwenye kudaka mbususu ni bwege anae karibia kuwa shoga.

Bro tangaza sera zako ukubaliwe ....punguza umama
Aiseee ....wacha ninunue gari niache maneno mengi
 
Kuna wakati tunaumia mioyo kuwafikiria wapenzi tuliokuwa nao kwa muda, na inatokea sintofahamu anaenda zake. Binafsi mashairi haya yananipa hisia kali sana juu ya mapendo
Intro:
C'mon C'mon
yeah
Can you feel me?
(Baby can you feel me?)
I've got something to say
Check it out

Verse 1:
For all this time
I've been lovin' you girl
Oh yes I have
And ever since the day
You left me here alone
I've been trying to find Oh, the reason why


So if I did
something wrong
Please tell
I wanna understand
'Cause I don't want
This love to ever end

chorus:
And I swear
If you come back
in my life
I'll be there till the end of time
(Come back to me
Come back to me
Back into my life)
And I swear
I'll keep you right
By my side
'Cause baby
You're the one I want
(Come back to me
Come back to me
Back into my life)
Oh yes you are

Verse 2:
I watched you go
You've taken
My heart with you
Oh yes you did
Every time
I tried to reach you
On the phone
Baby you're never there
Girl you're never home

So if I did something wrong
Please tell me
I wanna understand
'Cause I don't want
This love to ever end
No, no, no, no

/repeat chorus

Verse 3:
May be I dont know
How to show it
And may be
I didn't know
What to say
This time
I won't disguise
Then we can
Build our lives
Then we can
Be as one

/repeat chorus.
If you come back-Blue
Wimbo wa nani huu mkuu?
 
We dada achana na porojo za watu humu .. angalia furaha yako ipo wapi jitulizie hapohapo .... humu ndani utawafurahisha watu kwa kujifanya unamkomoa jamaa ili kuwafurahisha mafeminist ... alafu ukifika kwako usiku hulali unalialia [emoji16][emoji16] mapenzi sio vita mura ...kama moyo wako umegoma kuondoka uache ukichoka utaondoka wenyewe ...ukifosi kuondoa utaumia tu
 
We dada achana na porojo za watu humu .. angalia furaha yako ipo wapi jitulizie hapohapo .... humu ndani utawafurahisha watu kwa kujifanya unamkomoa jamaa ili kuwafurahisha mafeminist ... alafu ukifika kwako usiku hulali unalialia [emoji16][emoji16] mapenzi sio vita mura ...kama moyo wako umegoma kuondoka uache ukichoka utaondoka wenyewe ...ukifosi kuondoa utaumia tu
Bwana wee anawasimuliza wakina Kelsea na Mahondaw wakati wenzie usiku wanapapaswa yeye anabaki kuchapa marba ya mzungu hapa jf.
 
Huyo mwanaume kakuona wew ni falaa sana na wewe unamuendekezaa... kata mazoea sio kwamba unamchukia ila huna haja ya kuendelea kuwasiliana nae na inonesha hana uhakika juu ya mahusiano na huyo demu mkuu achana nae USIJIBU MSG KABISA.. usimblock wala nini ila akipiga hupokei na akituma msg hujibu kama kweli unajitambua na unasimamia ulichoamua utaweza ila sasa wew mwenyewe unaonekana unamkubali bado jamaa kupita maelezo. Anyway ukitaka kumuacha mwanamke usimwambie muachane maana sisi kurudi ni kawaida yetuu.
Mbona unamsigina mwana mzee .....? Wanaume hatupo hivo. Muacheni mwana aendelee kujilambia kibuyu cha asali acheni roho mbaya.....Man up
 
Nilikuwa kwenye serious relationship miaka 3 hiv na tulipanga tufunge ndoa mwaka huu baada ya kuwa mbali akaamua kurudiana na x wake namwisho akakubali kuwa kweli wamerudiana na kizurizaidi alisema sijawahi mkwaza na hakuwa na sabbu ya msingi ya kunifanyia hivo nikaona Riziki tu kumbe Ilikuwa imeisha maisha yaendelee.

Ila nilikuwa nawapendasana yeye familiayake na hata mtotowake na nilikuwa nawaona km nduguzangu kabisa lakin baada ya hayo sitaki mazoea nae kabisa niishi maisha yangu.

Shida ni kuwa analazimisha tuwe karibu na mm nilishakataa nishamblock mara kadhaa lakin atatafuta namba anipigie mara anitext nikaona nimuunblock tu ndugu zake Bado wananitafuta mara hiv mara hivi, naona wananirudisha nyuma Kila wakat mnipe mbinu mpya sitaki kusikia habarizao kabisa.
Ukiolowa tu hayo yote yataisha
 
Sophy,
Unapaswa kujua kilichosababisha jamaa kukucheat Ni distance, na sio yeye.
(Seems alizidiwa Sana,miez 6 sio mchezo)

Na Hakuna mwanaume utakua mbali eti asikucheat, hiyo haipo.

Solution Ni kuomba uhamisho muwe karibu MDA mwingi,

jamaa yako anakupenda Sana,
Nanupendo wake ulopitiliza umezaa Ujinga akadhani akikiri utamsamehe, kumbe ndo anajikaanga na mafuta yake mwenywe.

Msamehe jamaa muendelee na maisha,
Nmemuonea Sana huruma, ushamba mwingi
You are the man
 
Asante Kwa ushauri mzuri lkn suala la kifedha Hilo haliko sahihi ila kiukweli Kwa situation nilomkuta nayo kuniacha moja Kwa moja Kwa mtu mwenye utu coz nimetoka nae mbali sana na hta hapo alipo ni mchango wa mawazo na uvumilivu wangu pia sikuwahi muomba kitu najua Hana uwezo nacho nikiona ninanafasi ya kumshauri kitu asogee sikuwahi kusita kufnya hivo huenda Hilo ndo linamtesa mm Sina ela lakn sio wa kushindwa kujihudumia kula lknpia siwez hudmia mwanaume

Mapenz napenda ana offcourse lkn maumivu magumu kuvumilika na kanisaliti stage mbaya sna ambayo mahusiano yalikuwa wazi Hadi Kwa pia Kosa alofnya Hadi mzazinwangu anafahamu nimejisikia aibu sna siwez kuwa nae Tena
Sawa...sasa we unajuangalia moyo wako au unasikiliza mama na ndugu wanasema nini ...its your life ko fanya maamuzi huku ukitafuta amani ya moyo wako ...its your turn now kufanya maamuzi but nachoamini mimi for my experience huyu jamaa ataendelea kuwa na wewe tu hata kama utakuwa na mtu mwingine...kuna visa vingi vya aina hiyo na matokeo yake huwa ni kama nilivyobashiri so the choice is yours mama
 
Back
Top Bottom