Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu.. Ukizoea ni safi sanaSo far so good. Zoezi laenda vizuri. Tumbo limeshazoea kabisa. Naweza hata kula mara 2 tu kwa siku.
Mie long time mkuu... Sema nilianza kwa kuwa nna carbohydrates intolerance. By the way nilishazoea mnoo....Asante. Vipi nawe ni member wa kula style hiyo?
Sawa,Nime kume Kuwait, vipi?Wait nimtafute yule dem kwanza ndo anamjua.
Mbona mnatuchanganya ???Kwa afya njema zaidi pia vyakula usivipike na mafuta ya mbegu.
Tumia ya Nazi, olive nk (sio mtaalamu wa maswala ya lishe haya ni maarifa tu huwa nayapata kwa doctor mmoja wa sayansi ya mapishi)
Miluzi mingi humpoteza mbwa akili kichwan mwakoMbona mnatuchanganya ???
Watalamu wanasema ni Bora kutumia mafuta ya mimea (Alizeti,Pamba,Mzeituni,Mawese,Nazi) kuliko kutumia mafuta ya wanyama (Kondoo,Nguruwe) Kwa sababu Yana tendency ya kuganda kwenye mishipa ya damu na kuleta shidaa.Wewe nae unaleta ya mafuta ya mbegu wakati mbegu hizo ndo mimea yenyewee. Inakuaje kuaje??
Ulimuuliza sababu ya kutokutumia mafuta hayo? Au alisema TU bila kutoa side effect yoyote
Eti tuache kutumia Mafuta ya Karanga,Soya au korosho,halafu sababu hatoii kisa tu ni mbeguu. Hapana aisee...Miluzi mingi humpoteza mbwa akili kichwan mwako
Kwa miaka mingi sana jamii iliamini vidonda vya tumbo husababishwa na tumbo kukaa muda mrefu bila chakula.
Ukweli ni kwamba, vidonda husababishwa na bacteria waitwao Helicobacter Pylori au kwa kifupi H-pylori. Wadudu hawa huondoa ile layer ikaayo juu ya kuta za tumbo/utumbo. Hivyo basi sehemu hiyo huwa inakuwa imelika mfano wa sehemu ya barabara yenye pothole (kishimo).
Na kwa kuwa tumbo huachia acids ili kumeng'enya chakula, acids hizi zikigusa sehemu ile yenye kidonda ndipo mtu huhisi maumivu makali.
Njaa ina accelerate kuuma vidonda kwa sababu acids zikiachiwa na tumbo liko empty ina maana direct vitagusa sehem zenye vidonda.
H-pylori wanatibika.
Bro, mbona evenings nakula fruits na nyama tu nalala na naamka fresh.
Mafuta hayawe kuganda ndani ya mishipa ya damu hiyo elimu ni kama ile ya wazee **** mama akila mayai mtoto atakuwa na kiparaMbona mnatuchanganya ???
Watalamu wanasema ni Bora kutumia mafuta ya mimea (Alizeti,Pamba,Mzeituni,Mawese,Nazi) kuliko kutumia mafuta ya wanyama (Kondoo,Nguruwe) Kwa sababu Yana tendency ya kuganda kwenye mishipa ya damu na kuleta shidaa.Wewe nae unaleta ya mafuta ya mbegu wakati mbegu hizo ndo mimea yenyewee. Inakuaje kuaje??
Ulimuuliza sababu ya kutokutumia mafuta hayo? Au alisema TU bila kutoa side effect yoyote
Huo muda wa kukimbia sina. Nisiwe muongoUna Kilo ngapi Kwanza?
Acha Hizo,Mi nina zaidi ya miaka 40,Ninakula Vyote wali,Kuku,Samaki,Ugali,Dagaa,
Nilikuwa Nina Kilo 74kg Mwaka jana,Leo Nina 66kg!
Fanya Mazoezi tuu Kaka,
Mi nafanya Kukumbia tuu na Kunywa Maji Mengi!
Cha Msingi Punguza Kidogo wanga Ila Usiache Mkuu Mimi Siachi Ng’oo nakuka wanga Kama Kawa na Nimepungua 8kg for One year.
Kimbia 5km daily, 3/4Pwr week.