"KATAA NDOA KWA AFYA YA MWILI NA AKILI "Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.
hahaha, hapana, ila kuna vitu niliona haviko sawa, mchango wake na wangu ni mbingu na bahari, hana chochote cha ku offer zaidi ya sex, kutumia kigezo cha sex kufyonza rasilimali zanguAlikupiga pigo takatifu chairman
hapana siwezi nasa, siwi fooled na sex, not wakati najua nguvu ya BabyCare š¬yote kwa yote kuna siku utanasa t
Unafurahi mwenyeweSasa je
Wewe ni binaadam wa aina gani? Mtu kakutema toka 2015 bado hujatafuta maisha mengine?Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!
Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.
Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.
Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.
Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
Kwa kiswahili ulikua unataka kuandikaje?Me maskini tu, I was spend 300000 kwa Kila boom langu
šššššš If idumu milelehahaha, hapana, ila kuna vitu niliona haviko sawa, mchango wake na wangu ni mbingu na bahari, hana chochote cha ku offer zaidi ya sex, kutumia kigezo cha sex kufyonza rasilimali zangu
kutumia maneno kama nihudumie, mara mta kula kwa jasho huku yeye anachochangia ni uchi pekee, huo ni wizi, ujambazi, unyonyaji na ni utapeli kwa kupigwa vita kali, achilia mbali ufesmisti baridi
hapana siwezi nasa, siwi fooled na sex, not wakati najua nguvu ya BabyCare š¬
Jamaa wa Kataa ndoa kapatikanaš¤£mkuu unasaliti chama mbona
Ndio mm mkuu Yan navueugwaWewe si ndo ulikuwa unaomba ushauri jana "unasema ni siku ya 12 umeacha punyeto lakini mapaja yanakuwasha" siyo wewe? [emoji16][emoji16]
Let her go....utapata mwingine wa kukufaa.Siwezi kukubali bora nimuharibie asiolewe tukose wote!
Ipo hivi wakuu, hapa nipo na machungu sana moyoni, kuna binti kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza 2015 nilimpenda tukawa kwenye mahusiano, of course nilikuwa good guy kwake, na tulipanga vingi sana lakini ndani ya miezi sita akaniacha bila ya mimi kuwa na kosa.
Niliumia sana maana sikuwahi kupenda before, ni yeye niliyempenda. Nikambembeleza sana lakini wapi. Hali ya kuwa alikula vitu yangu vingi tu, na sikuwahi ku sex nae; alisema no sex before marriage nilikubali. Sasa ni miaka kadhaa imepita nasikia anaolewa, aisee, roho inaniuma sana, sana, sana, sana, maana bado nampenda.
Sasa nataka nifanye kila juhudi na njia nimuharibie kwa kila njia kigiza au nuru asiolewe mana kama ataolewa nitaishi kwa maumivu makali sana.
Naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi.
Kweli umedata "navueugwa" ndo nini mkuu??Ndio mm mkuu Yan navueugwa