Ushauri: Nataka kufanya lolote kuzuia asiolewe, bado nampenda sana

Kuna wimbo Fid Q anaimba,

“Yaliyopita si ndwele tugange yajayo, mambo yakienda kombo yaache usiende nayo, maidha barabarani tazama kila upande inapowaka taa ya kijani”

Braza umeenda shule ila hujapata elimu ya kutosha ya self control na mtazamo wa maisha, unalofikiria halitakusaidia ku solve bali ni muda.

Inashangaza…….,

Umeshindwa vipi kuruhus moyo wako kuishi maisha mapya muda wote huo!?

Uko unaishi mazingira yaleyale!? Dont you meet new people? Never been to new places?

How comes you dwell to that past ya human being ambaye umekutana nae ukubwani..!?
 
Namba za waganga zimebandikwa kando kado ya marabara inchi nzima zipo mpaka kwenye miti.

Nb. Hakuna mwizi nooja duniani kama mganga. All the best.
 
Sawaa haina shida, unajua kabadir maisha yangu kwa kias kip, nafasi ngap kwa ajiri Yale niliacha whatever the case
Fanya tu maana Hawa viumbe hawastahili huruma. Au maliza kabisa
 
SEX BEFORE MARRIAGE IS SIN.
Soma kutokea mwisho.
Ogopa kauli naKupenda za ghafla ghafla.
 
Love at first site inatesa sana.. Anua tanga usitafute kulipa kisasi, kama alikukosea kweli kisasi ni karma kitamtafuta popote atakapokuwa
 
Majibu ya wanawake yananiacha hoi. Mlikula hela za watu nini?😬🤣🤣
No mkuu.. muache aende.
Utapata mwingine atakae tulia kwako.

Hiyo roho ya kichawi inayokuandama ishindwee na ilegee.

Kumuharibia hakuta kupa ahueni yoyote zaidi zaidi kutakuongezea majuto baadae, muache aende utampata mwingine

Kumuacha umpendae aende kwa ampendae nao ni upendo

Huna mambo mengine ya kufanya!? Ulizaliwa nae? Ukimuharibia ndio utampata!?

 
Majibu ya wanawake yananiacha hoi. Mlikula hela za watu nini?😬🤣🤣
😂😂
Hakuna mwanamke hajawahi kula hela ya mtu mkuu haswa humu ndani coz wengi ni wakurungwa wamekwepa mishale kibaoo, hiyo ni pi 22/7
 
😂😂
Hakuna mwanamke hajawahi kula hela ya mtu mkuu haswa humu ndani coz wengi ni wakurungwa wamekwepa mishale kibaoo, hiyo ni pi 22/7
Ndio maana wanamajibu ya kufurahisha kwa sababu kila mmoja wao anahisi hasira za huyu jamaa mleta mada
 
Unakoelekea utapoteza vitu vingine vingi sana. Achana nae, mbona vidosho vizuri ni vingi sana?

Utakuwa unatokea kanda ya Ziwa au Kazikazini au Mbeya. Ndio Hupenda hivi.
 
Upwilu
 
Muache bana sense,huyo kwanza ushukuru amekutahiri kwenye kisu Cha Moto Sasa umekuwa mwanaume.
Yaani moyo wako umekuwa immunized so now hutomtegemea ama kumuamini mwanadamu Bali Muumbaji wako.


Muache aende zake huyo akakubatiza katika ziwa la moto shukuru. Saivi ukija kuoa hata ukifumania mkeo utakuwa sugu mno moyo wako. Yaani komaa Sasa huyo ndio akakomaza.
Mwenyewe nililia mno Tena road mkuu mtaani sioni aibu saivi Niko ngangari hata upige na silaha gani moyo wangu upo very strong.


Iyo aliyokufanyia Ni sawa na traders qanapoteza hela baadaye hofu ya kupoteza hela inapotea yaani haogopi kupoteza hela so hapo ndipo anapoanza ku trade bila ya hofu na kumeki mane.

Mie nakuomba mno Kama bro wako niliyetoka chuo kabla yako kwa miaka mingi mno naomba umuache sema umepata funzo ama somo la kutosha.

Uelewe maisha yapo kinyume na shule.

Shuleni unapewa somo baadaye mtihani huku kwenye maisha unapata mtihani baadaye somo.

Unapewa cheti Cha ndoa ndio unaingia kwenye ndoa huingii chuo ukapewa cheti Cha GPA 5 halafu ndio unaanza kusoma.

Nakumbuka uzoefu Ni kuwa umeshawahi fanya makosa mengi na makubwa kuliko ambaye hajawahi yafanya. Shukuru huyo akakuleta ukubwani yaani shukuru umepata somo na hela alizokula Ni Ada ulilipia ili kupata somo.

Trading haupotezi hela Bali unalipa Ada zile hela unazopoteza.

You've to have the balls if the steel and ice in your veins to survive in this school called life.


Sasa na bado hujajenga nyumba kwenye kiwanja ulichotapeliwa na dalali tapeli. Nyumba imeisha unahamia unafuatwa kuwa kiwanja sio chako.

Hujawahi nunua hisa kampuni za mamilioni mamia huku kampuni hewa ama baadaye ikashuka thamani mpaka zero mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…