Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Angalia apn settings mkuu, nenda setting kisha kwenye connection na mobile network chagua access point.Samahani Chief-Mkwawa Nina simu aina ya Samsung Galaxy a13 ina tatizo la kushindwa kufungua Google, chrome na YouTube japo internet ipo connected na WhatsApp inafanya kazi vizuri
Nishaset apn ila shida ni kwamba baada ya muda flani zinagoma kufunguka tena. Sasa kazi imekuwa ngumu kila muda kuset. Ndo naomba msaada kama Kuna permanent setting ya internet ili nisipate hiyo shida ya kuset kila maraAngalia apn settings mkuu, nenda setting kisha kwenye connection na mobile network chagua access point.
Tengeneza apn mpya name eka chochote na apn weka internet, save then tumia hio apn mpya.
Apn setting zipo za aina mbili hizo wap na web na internet.Nishaset apn ila shida ni kwamba baada ya muda flani zinagoma kufunguka tena. Sasa kazi imekuwa ngumu kila muda kuset. Ndo naomba msaada kama Kuna permanent setting ya internet ili nisipate hiyo shida ya kuset kila mara
Asante ,,, kwa hiyo nikiweka neno internet kila sehemu haitanisumbua tena?Apn setting zipo za aina mbili hizo wap na web na internet.
Ukibadili line apn hubadilika pia ama mtandao ukikutumia setting mpya za internet.
As long as apn inabaki internet haitabagua apps.
Hizo za wap na web zinabagua apps sababu zina proxy za ajabu ajabu, ni setting za simu za zamani.
Naongelea smartphones tena modern sio vitochiSimu zenye vioo nyuma zipo zaidi ya miaka 20 kwa sasa
Mkuu Samsung wana series zenye vioo nyuma ambazo hazijatoka sokoni, zime transform toka feature phone kuja android toka android inatoka mpaka leo. Wana series, za flip phone zenye vioo nyuma na flagship soc na android zinauzwa mamilioni ya hela. Angalia series zao za W za china.Naongelea smartphones tena modern sio vitochi
Nimekupata mkuuMkuu Samsung wana series zenye vioo nyuma ambazo hazijatoka sokoni, zime transform toka feature phone kuja android toka android inatoka mpaka leo. Wana series, za flip phone zenye vioo nyuma na flagship soc na android zinauzwa mamilioni ya hela. Angalia series zao za W za china.
Mfano hii W2017
Hata design hio mkuu, zamani vioo vilikuwa vidogo kadri ya muda unavyokwenda ndio jinsi wanaviongeza, flip za zamani zilikuwa na vioo vidogo.Nimekupata mkuu
Sema nilikuwa nazungumzia design hiiView attachment 2435622
Mkuu, hizo simu sio za kuflipHata design hio mkuu, zamani vioo vilikuwa vidogo kadri ya muda unavyokwenda ndio jinsi wanaviongeza, flip za zamani zilikuwa na vioo vidogo.
Hio idea imetoka kwenye flip, thats my point sio kitu kipya.Mkuu, hizo simu sio za kuflip
Hebu nitumie picha ya simu za zamani ambazo ni smart tena haina button na iko na screen ndogo kwa nyuma
Fresh, hapo sasa tumeelewanaHio idea imetoka kwenye flip, thats my point sio kitu kipya.
Na hata kwa simu nyengine Rog phone nyingi zina led screen nyuma, ni kitu common kwa mda sasa.
View attachment 2435714
Na sio rog tu gaming phones nyingi zina gimmicks kama hizo