Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Angalia apn settings mkuu, nenda setting kisha kwenye connection na mobile network chagua access point.Samahani Chief-Mkwawa Nina simu aina ya Samsung Galaxy a13 ina tatizo la kushindwa kufungua Google, chrome na YouTube japo internet ipo connected na WhatsApp inafanya kazi vizuri
Tengeneza apn mpya name eka chochote na apn weka internet, save then tumia hio apn mpya.