USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

Samahani Chief-Mkwawa Nina simu aina ya Samsung Galaxy a13 ina tatizo la kushindwa kufungua Google, chrome na YouTube japo internet ipo connected na WhatsApp inafanya kazi vizuri
Angalia apn settings mkuu, nenda setting kisha kwenye connection na mobile network chagua access point.

Tengeneza apn mpya name eka chochote na apn weka internet, save then tumia hio apn mpya.
 
Nishaset apn ila shida ni kwamba baada ya muda flani zinagoma kufunguka tena. Sasa kazi imekuwa ngumu kila muda kuset. Ndo naomba msaada kama Kuna permanent setting ya internet ili nisipate hiyo shida ya kuset kila mara
 
Apn setting zipo za aina mbili hizo wap na web na internet.

Ukibadili line apn hubadilika pia ama mtandao ukikutumia setting mpya za internet.

As long as apn inabaki internet haitabagua apps.

Hizo za wap na web zinabagua apps sababu zina proxy za ajabu ajabu, ni setting za simu za zamani.
 
Asante ,,, kwa hiyo nikiweka neno internet kila sehemu haitanisumbua tena?
 
Naongelea smartphones tena modern sio vitochi
Mkuu Samsung wana series zenye vioo nyuma ambazo hazijatoka sokoni, zime transform toka feature phone kuja android toka android inatoka mpaka leo. Wana series, za flip phone zenye vioo nyuma na flagship soc na android zinauzwa mamilioni ya hela. Angalia series zao za W za china.

Mfano hii W2017
gsmarena_001.jpg
 
Nimekupata mkuu
Sema nilikuwa nazungumzia design hii
gsmarena_000.jpg
 
Hata design hio mkuu, zamani vioo vilikuwa vidogo kadri ya muda unavyokwenda ndio jinsi wanaviongeza, flip za zamani zilikuwa na vioo vidogo.
Mkuu, hizo simu sio za kuflip
Hebu nitumie picha ya simu za zamani ambazo ni smart tena haina button na iko na screen ndogo kwa nyuma
 
Hio idea imetoka kwenye flip, thats my point sio kitu kipya.

Na hata kwa simu nyengine Rog phone nyingi zina led screen nyuma, ni kitu common kwa mda sasa.

ASUS-ROG-Phone-5-Ultimate-1-1420x799.jpg

Na sio rog tu gaming phones nyingi zina gimmicks kama hizo
 
Hio idea imetoka kwenye flip, thats my point sio kitu kipya.

Na hata kwa simu nyengine Rog phone nyingi zina led screen nyuma, ni kitu common kwa mda sasa.

View attachment 2435714
Na sio rog tu gaming phones nyingi zina gimmicks kama hizo
Fresh, hapo sasa tumeelewana
Point yangu kuu ni kwamba Xiaomi si kampuni ya kudharaulika, basi.
 
Back
Top Bottom