Labda mshamba afanye hivyo, nili download hiyo kitu, nikaitoa haraka sana, inapoteza ubora wa pichaRedmi wenyewe walitaka kupiga picha Kali Wana download kamera ya Google pixel Gcam [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda mshamba afanye hivyo, nili download hiyo kitu, nikaitoa haraka sana, inapoteza ubora wa pichaRedmi wenyewe walitaka kupiga picha Kali Wana download kamera ya Google pixel Gcam [emoji23][emoji23]
Redmi ni 120Hz, pixel yako ni 60Hz... Una lingine?Refresh rate Redmi ana ngap na pixel ngap!!?
Ulishindwa kuiconfigure mzeeLabda mshamba afanye hivyo, nili download hiyo kitu, nikaitoa haraka sana, inapoteza ubora wa picha
Waulize wenzako watakwambia 😂😂😂 wewe ulikimbilia kudownload Kwa kusikia tu bila kuwa na maelezo kamili... Asimame mwenye note 10 pro yenye gcam na wewe ambaye hauna gcam Kwa picha nzuri Yako ambayo Haina itaonekana takataka tu😂😂Labda mshamba afanye hivyo, nili download hiyo kitu, nikaitoa haraka sana, inapoteza ubora wa picha
Hapa yenyewe comparison tunafanya na 3a ambayo ilitoka miaka 3 iliyopita kabla ya note 10 pro ila tukisema tuchukue pixel iliyotoka mwaka mmoja na Redmi ndugu yangu Redmi Bado sana maana sijui kama Kuna kitu atagusa....Labda mshamba afanye hivyo, nili download hiyo kitu, nikaitoa haraka sana, inapoteza ubora wa picha
Google pixel ni simu nzuri sana hata mimi nimetumia hiyo 3a, na kubwa zake, ila jamaa unaioverrate sanaa Ukiachana na camera haina maajabu kivileeee hasa 3a, labda sifa yake nyengine ni wepesi wake kwenye uzitoHapa yenyewe comparison tunafanya na 3a ambayo ilitoka miaka 3 iliyopita kabla ya note 10 pro ila tukisema tuchukue pixel iliyotoka mwaka mmoja na Redmi ndugu yangu Redmi Bado sana maana sijui kama Kuna kitu atagusa....
Samahani mkuu ulinunua duka gani naitamani Sana hii simu680,000 dukani, hata sikuuliza mara mbili, nilihisi jamaa kajichanganya maana najua bei zake ni 750,000-780,000
Nasikia hata battery yake imara,inadumu na chaji. Nataka nihamie hukoBonge moja la simu mkuu, chukua bila hofu yoyote ufaidi mema ya simu janja
You underinformed..Pixel ana 12mp ila huyo Redmi na 108mp zake anaonekana kama Tecno tu Android update pixel anamzidi Redmi bugs na crashes Redmi anamzidi pixel inshort Bado sana kwenye kufananisha simu kaka [emoji23][emoji23][emoji23] ukitoa betri ukubwa wa screen na microsd ndivyo vitu ambavyo 10 inaizid pixel Tena pixel 3a maana nikikuwekea 4 au 5 hapo mnatafutana
KabisaaaKwa Android simu ni Samsung tu
Pixel is for photographyHiyo simu haiizidi pixel Kwa ubora wa picha hata kama ina mp108 wakati pixel ni 12mp ila still picha za google pixel ni umeme..... Mpaka imefikia wenye Redmi Wana download kamera ya Google Pixel kuongeza ubora
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,
Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Ukitaka kufananisha na Google Pixel za juu basi chukua Xiaomi za juu piaHapa yenyewe comparison tunafanya na 3a ambayo ilitoka miaka 3 iliyopita kabla ya note 10 pro ila tukisema tuchukue pixel iliyotoka mwaka mmoja na Redmi ndugu yangu Redmi Bado sana maana sijui kama Kuna kitu atagusa....
Uongo mkubwaKwa Android simu ni Samsung tu
Simu zenye vioo nyuma zipo zaidi ya miaka 20 kwa sasaUongo mkubwa
Xiaomi 12S Ultra inaikalisha Samsung Galaxy S22 Ultra
Xiaomi ndio simu za kwanza kuleta simu yenye screen ndogo kwa nyuma, nasikia Samsung nae ataiga kwenye S23 Ultra
Xiaomi Mix Fold 2 ni simu nyembamba ya kukunjuka kama kitabu, tena inatishia hadi Samsung Galaxy Z Fold
Google hapo Xiaomi Mi Mix Alpha uione
We ifuatilie tu Xiaomi, utakuja kujua Afrika tunavyodanganyana na kuambizana eti simu kali ya Android ni Samsung tu
Mkuu Xiaomi ni moto