USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

USHAURI: Nataka kununua simu 'Xiaomi Redmn Note 10 Pro'

Labda mshamba afanye hivyo, nili download hiyo kitu, nikaitoa haraka sana, inapoteza ubora wa picha
Waulize wenzako watakwambia 😂😂😂 wewe ulikimbilia kudownload Kwa kusikia tu bila kuwa na maelezo kamili... Asimame mwenye note 10 pro yenye gcam na wewe ambaye hauna gcam Kwa picha nzuri Yako ambayo Haina itaonekana takataka tu😂😂
 
Labda mshamba afanye hivyo, nili download hiyo kitu, nikaitoa haraka sana, inapoteza ubora wa picha
Hapa yenyewe comparison tunafanya na 3a ambayo ilitoka miaka 3 iliyopita kabla ya note 10 pro ila tukisema tuchukue pixel iliyotoka mwaka mmoja na Redmi ndugu yangu Redmi Bado sana maana sijui kama Kuna kitu atagusa....
 
Google pixel ni simu nzuri sana hata mimi nimetumia hiyo 3a, na kubwa zake, ila jamaa unaioverrate sanaa Ukiachana na camera haina maajabu kivileeee hasa 3a, labda sifa yake nyengine ni wepesi wake kwenye uzito
 
Pixel ana 12mp ila huyo Redmi na 108mp zake anaonekana kama Tecno tu Android update pixel anamzidi Redmi bugs na crashes Redmi anamzidi pixel inshort Bado sana kwenye kufananisha simu kaka [emoji23][emoji23][emoji23] ukitoa betri ukubwa wa screen na microsd ndivyo vitu ambavyo 10 inaizid pixel Tena pixel 3a maana nikikuwekea 4 au 5 hapo mnatafutana
You underinformed..

Xiaomi wanatoa 4 years of security updates and 3 years of OS updates.
 
Uwez fananisha Xiaomi na pixel ni tofauti mno nimetumi 3a na 3a XL ni Moto mno

Lakini Xiaomi ni nzuri hata Kwa picha wanajitahid ushauri achukue hiyo Xiaomi achukue dukani sio used
 
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,

Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
 
Attachments

  • Screenshot_2022-08-07-21-12-27-755_com.android.settings.jpg
    Screenshot_2022-08-07-21-12-27-755_com.android.settings.jpg
    117.6 KB · Views: 23
  • Screenshot_2022-08-07-21-11-57-063_com.android.settings.jpg
    Screenshot_2022-08-07-21-11-57-063_com.android.settings.jpg
    110.6 KB · Views: 23
  • Screenshot_2022-08-07-21-12-04-339_com.android.settings.jpg
    Screenshot_2022-08-07-21-12-04-339_com.android.settings.jpg
    115.7 KB · Views: 23
Hapa yenyewe comparison tunafanya na 3a ambayo ilitoka miaka 3 iliyopita kabla ya note 10 pro ila tukisema tuchukue pixel iliyotoka mwaka mmoja na Redmi ndugu yangu Redmi Bado sana maana sijui kama Kuna kitu atagusa....
Ukitaka kufananisha na Google Pixel za juu basi chukua Xiaomi za juu pia
Xiaomi 12S Ultra inaikalisha Google Pixel 7 pro sehemu nyingi sana, mpaka picha za usiku
Halafu kufananisha Redmi Note 10 pro na hiyo takataka ya Google Pixel 3A ni kuishusha hadhi Redmi
 
Kwa Android simu ni Samsung tu
Uongo mkubwa
Xiaomi 12S Ultra inaikalisha Samsung Galaxy S22 Ultra
Xiaomi ndio simu za kwanza kuleta simu yenye screen ndogo kwa nyuma, nasikia Samsung nae ataiga kwenye S23 Ultra
Xiaomi Mix Fold 2 ni simu nyembamba ya kukunjuka kama kitabu, tena inatishia hadi Samsung Galaxy Z Fold
Google hapo Xiaomi Mi Mix Alpha uione
We ifuatilie tu Xiaomi, utakuja kujua Afrika tunavyodanganyana na kuambizana eti simu kali ya Android ni Samsung tu
Mkuu Xiaomi ni moto
 
Simu zenye vioo nyuma zipo zaidi ya miaka 20 kwa sasa
 
Samahani Chief-Mkwawa Nina simu aina ya Samsung Galaxy a13 ina tatizo la kushindwa kufungua Google, chrome na YouTube japo internet ipo connected na WhatsApp inafanya kazi vizuri
 
Back
Top Bottom