USHAURI: Nataka kusafiri na Passo ya Piston 3 ina CC 990, nitaenda umbali wa Km 400

USHAURI: Nataka kusafiri na Passo ya Piston 3 ina CC 990, nitaenda umbali wa Km 400

Hamna u cheap wowote hapo

kutembea na gari private ni gharama kuliko kupanda gari za kulipia..hata kama ni passo

eg singida arusha 330km passo tuassume itaenda 18km/l itatafuna Lita 18*2150 ni 39416 wakati nauli ni 12 tu unaenda ...

that means hata mkiwa wawil kama ni kusave hela nendeni na bus ..na hiyo ni passo tu

kuna wtu wana v8 where hata mkiwa wanne hamtoshi lipia mafuta ya kwendea sehemu....so Mwenye uwezo muache aende tu

Kupanga ni kuchagua! Nafasi yake imemruhusu kufanya hivyo, hata hivyo hatujui huko mwisho wa safari anakwenda kufanya nini? Ni umbali wa KM ngapi toka basi linapoishia? Kuna usafiri unaoeleweka?

Hutokea, umesafiri kwa 12,000 tu lakini unapishuka kwenye basi mpaka unakoenda ukatumia 60,000 kukodi usafiri mwingine wakati private ingetumia mafuta ya shs 30,000 tu!!

Au! Ukifika utakuwa na mizunguko ambapo ukikodi gari unaweza kutumia 100,000 kumbe private ungetumia mafuta ya 40,000 tu.

Wengine tunaangalia mwisho wa safari na si mwanzo kama mfanyavyo!!
 
Ndugu yangu huku JF ukiomba ushairi sometimes unaweza kuvujwa moyo..
Gari lolote linapotengenezwa linapitia vigezo vingi sana ili likidhi mahitaji ya standards za kimataifa..
Gari lolote lile unaweza kusafiri nalo bila shida ili mradi liwe zima na ufuate utaratibu.

Tatizo linakuja pale ambapo mtu yupo safari ndefu na passo....brevis inampita mlimani jamaa wa passo anaanza kufukuza...hapo lazima kichemshe.

Gari kama passo kwa udogo wake nakushauri usizidi 110kph kwa safari ya mbali na RPM maximum iwe 3 ila muda mwingi hakikisha RPM ipo chini ya 3 then acha gari ichanganye yenyewe....wenye prado zao waache waende utafika tu.

Ukizingatia hayo kwa passo utasafiri kwenda mbali tu na kurudi salama.

Sent using Jamii Forums mobile app

Good point [emoji817]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hamna u cheap wowote hapo

kutembea na gari private ni gharama kuliko kupanda gari za kulipia..hata kama ni passo

eg singida arusha 330km passo tuassume itaenda 18km/l itatafuna Lita 18*2150 ni 39416 wakati nauli ni 12 tu unaenda ...

that means hata mkiwa wawil kama ni kusave hela nendeni na bus ..na hiyo ni passo tu

kuna wtu wana v8 where hata mkiwa wanne hamtoshi lipia mafuta ya kwendea sehemu....so Mwenye uwezo muache aende tu
Kwa mantik hiyo hakuna sababu ya kununua gari, coz kwa vyovyote vile kumiliki gar ni ghali kuliko kutokuwa na gari.
 
Hamna u cheap wowote hapo

kutembea na gari private ni gharama kuliko kupanda gari za kulipia..hata kama ni passo

eg singida arusha 330km passo tuassume itaenda 18km/l itatafuna Lita 18*2150 ni 39416 wakati nauli ni 12 tu unaenda ...

that means hata mkiwa wawil kama ni kusave hela nendeni na bus ..na hiyo ni passo tu

kuna wtu wana v8 where hata mkiwa wanne hamtoshi lipia mafuta ya kwendea sehemu....so Mwenye uwezo muache aende tu
Sasa elfu arobaini kwa private car yangu ni hela???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaenda nako... Muwe wanaume angalau watatu na kila mmoja asizidi kgs 70. Kuna maeneo mkifika mnakabeba mpaka sehemu nzuri mnakaweka chini mnaendesha.pia kama kuna mlima mkali inabidi wengine washuke na mwembamba ndo aendeshe wale wawili wasaidia kukasukuma kapande mlima ama sivyo katachemsha.pia msisahau kubena hata lita tano za maji ya kupozea.
 
Unamiliki gari lakini MSHAMBA!..

Ushamba ndani ya Range rover na ujanja peku peku kwa miguu ipi bora [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] Kumiliki Gari sio kosa langu ila wewe kutomiliki gari ni kosa la jinai fanya kazi uje ununue passo Bro! Hakuna gari inayouzwa kwa bei ya kuniita mimi mshamba [emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom