Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Astaghafilullah....😳We nenda nacho, kikifa njiani kiuze kama kilivyo, usihqngaike kukitengeneza, kilipolewa huko Japan kilikua kinangoja kwenda scrapyard.
Watanzania tuachane na mitumba.
Wewe unanunua mtumba halafu unauliza huu upapi wa nini makalioni? Unanshangaza!