USHAURI: Nataka kusafiri na Passo ya Piston 3 ina CC 990, nitaenda umbali wa Km 400


Kupanga ni kuchagua! Nafasi yake imemruhusu kufanya hivyo, hata hivyo hatujui huko mwisho wa safari anakwenda kufanya nini? Ni umbali wa KM ngapi toka basi linapoishia? Kuna usafiri unaoeleweka?

Hutokea, umesafiri kwa 12,000 tu lakini unapishuka kwenye basi mpaka unakoenda ukatumia 60,000 kukodi usafiri mwingine wakati private ingetumia mafuta ya shs 30,000 tu!!

Au! Ukifika utakuwa na mizunguko ambapo ukikodi gari unaweza kutumia 100,000 kumbe private ungetumia mafuta ya 40,000 tu.

Wengine tunaangalia mwisho wa safari na si mwanzo kama mfanyavyo!!
 

Good point [emoji817]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa mantik hiyo hakuna sababu ya kununua gari, coz kwa vyovyote vile kumiliki gar ni ghali kuliko kutokuwa na gari.
 
Sasa elfu arobaini kwa private car yangu ni hela???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaenda nako... Muwe wanaume angalau watatu na kila mmoja asizidi kgs 70. Kuna maeneo mkifika mnakabeba mpaka sehemu nzuri mnakaweka chini mnaendesha.pia kama kuna mlima mkali inabidi wengine washuke na mwembamba ndo aendeshe wale wawili wasaidia kukasukuma kapande mlima ama sivyo katachemsha.pia msisahau kubena hata lita tano za maji ya kupozea.
 
Unamiliki gari lakini MSHAMBA!..

Ushamba ndani ya Range rover na ujanja peku peku kwa miguu ipi bora [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] Kumiliki Gari sio kosa langu ila wewe kutomiliki gari ni kosa la jinai fanya kazi uje ununue passo Bro! Hakuna gari inayouzwa kwa bei ya kuniita mimi mshamba [emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…