USHAURI: Nataka kusafiri na Passo ya Piston 3 ina CC 990, nitaenda umbali wa Km 400

Sawa baba mwenye gari!!...
 
Humu tunadharauliana sana...lakini hakuna chombo cha moto kinachouzwa laki mbili[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu tunadharauliana sana...lakini hakuna chombo cha moto kinachouzwa laki mbili[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii ni jf bro kila mtu ni tajiri [emoji23][emoji23][emoji23] Kila mtu ana gari, kila mtu ana iphone, kila mtu ana nyumba, kila mtu ana mademu wengi, kila mwanaume anamfikisha demu wake kileleni, kila demu mweupe


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeeleweka sawa sawia

Sent using Jamii Forums mobile app
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiwasikiliza watu wa jf unaweza ukajihisi wewe ni masikini wa kutupa [emoji23][emoji23]🤣🤣🤣 yani masikini wa mwisho 🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Paso unasafiri nayo popote ili mradi kuwe na lami.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata barabara za changarawe, ili mradi chini, kwa maana ya shock, stabilizer link, spring iwe iko vizuri, kuna mtu tuliongozana naye kigoma to tabora, na kumbuka almost nusu ya barabara hiyo ni changarawe karibia 220km, akiwa na passo, mwaka juzi, na huwa namuona nayo mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ushauri mwingine mm huwa siulewi kabsa, hivi paso si ina speed 180 sawa na brevis na rpm sawa? Waliotengeneza waliwekea nini speed 180 kama ww unamshauri asizidi 110? Acheni mambo yenu yy aendeshe speed anayotaka sio kusema sijui 110 wakati gari ina sifa sawa na gari ingine tu
 
Kusafiri na gari private Raha ,kuna sehemu unapita unajisemea ningekuwa na gari private ningesimama hapa .Sasa upo kwenye Basi unakuwa huna jinsi
 
Wakuu naombeni ushauri, nina safari kidogo kama ya KM 400 kwa siku moja ila sijawahi kusafiri na hiki kigari, ushauri tafadhali...
Watu wanasafiri na baiskeli cc00 na wanafika waendako sembuse cc990.
 
Passo 990cc maxmum speed ni 140 kmh huwa haizidi hapo zingine ni mapambo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…