USHAURI: Nataka kusafiri na Passo ya Piston 3 ina CC 990, nitaenda umbali wa Km 400

[emoji3]
 
kaka tunaenda na IST mpaka TUNDUMA tena non stop gari ina fika na unaikabidhi kwa wa zimbabwe,Congolese, Zambian n.k bila shida una fika tena bila mchecheto.

( cha kuzingatia fuata sheria za barabara service ya gari, maana usipo fuata sheria za barabarani ukisema ukimbie sana, mfano speed 100... kph una uwezekano mkubwa wa kupotea hivyo vigari ni vyepesi kinoma. [emoji23] mwisho kabisa nakutakia safari njema kilala kheri.
 
Mkuu wewe dereva wa IT nini?
 
Ukifuata kanuni hiyo hakuna haja ya kuwa na gari kwa sababu hata town trip daladala ni 400 hadi 650 ina maana kwenda na kurudi si zaidi 2000.

Ukisema kuwahi chukua boda utawahi na gharama ndogp.

Baadae uta conclude hakuna haja ya gari.
Lkn ni UMASKINI TU HUO.

Hata kujenga nyumba ni gharama kuliko kupanga.
Haya ni mawazonya WAJINGA TU
 
Unafika hata Mwanza ila hiyo engine ni ndogo so usiilazimishe kui rev sana pale ambapo inazidiwa. Hii itasaidia gari iishi maisha marefu zaidi. Binafsi nimeshasafiri nayo Dar Tanga nikiwa na watu. Kama huna haraka haina shida
 
Nimewahi tokanayo musoma to Dsm non stop na kako powa kabisa mpaka leo hii sasa wewe to km 400 unakuja humu unalialia mwanaume mzima kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeweza kumshauri bila kutoa kashfa, yeye kauliza iwapo anaweza kwenda na hiyo gari 400 km, bahati nzuri wewe una uzoefu, ulichopaswa ni kumfahamisha bila kuongeza maneno ya maudhi
 
Passo 990cc maxmum speed ni 140 kmh huwa haizidi hapo zingine ni mapambo tu

Nimewahi shuhudia testing ya hizi gari kwenye Dynamo pale NIT. Wanakipiga 160+Km na kinaenda bila shida.

Kama kibovu ndio unakuta vingine kinazima.

Mimi labda mtu aniambie kuwa ukipiga speed kubwa hiyo gari itakuwa nyepesi sana hivyo ni rahisi kuhama road. Huyu naweza kumuelewa.
 

Yes fact ya kutotembea speed kubwa sababu ya wepesi wa gari naikubali. Siyo vinginevyo.
 
Yes fact ya kutotembea speed kubwa sababu ya wepesi wa gari naikubali. Siyo vinginevyo.
Yaani kuna vigari ukukipiga pedal vizuri halafu ghfla likatokea la kutokea mbele yako ukifunga break huwa vina pepesuka vibaya sana [emoji22] kana weza viringita hata mara million [emoji23] au kama upo kwenye motion kina kuwa hakina utulivu kabisa kina hama hama flani [emoji23][emoji115] sasa hapo una safiri usiku na una kausingizi flani my bro ni bora upark pembeni tu maana kifuatacho ni kuimbiwa " siimbalii karibuu" [emoji848]
 
Passo ipo very stsble barabarsni
 
Nimesafiri na passo yangu piston 3 musoma to dar zaidi ya mara kumi tena huwa naanza safari zangu usiku sijawahi kupata shida hata maramoja
Vipi ukibeba watu wanne kanakuwa na nguvu
 
Wakuu naombeni ushauri, nina safari kidogo kama ya KM 400 kwa siku moja ila sijawahi kusafiri na hiki kigari, ushauri tafadhali...
We nenda nacho, kikifa njiani kiuze kama kilivyo, usihqngaike kukitengeneza, kilipolewa huko Japan kilikua kinangoja kwenda scrapyard.

Watanzania tuachane na mitumba.

Wewe unanunua mtumba halafu unauliza huu upapi wa nini makalioni? Unanshangaza!
 
We nenda nacho, kikifa njiani kiuze kama kilivyo, usihqngaike kukitengeneza, kilipolewa huko Japan kilikua kinangoja kwenda scrapyard.

Watanzania tuachane na mitumba.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kila ukifika Kms 100 kipumzishe masaa matano kivulini. kimwagie maji ya baridi sana kiache kipoe. Kisha ndo uendelee na safari. Pia usibebe mzigo wa kuzidi km 20 na wewe usizidi kilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…