USHAURI: Nataka kusafiri na Passo ya Piston 3 ina CC 990, nitaenda umbali wa Km 400

We nenda nacho, kikifa njiani kiuze kama kilivyo, usihqngaike kukitengeneza, kilipolewa huko Japan kilikua kinangoja kwenda scrapyard.

Watanzania tuachane na mitumba.

Wewe unanunua mtumba halafu unauliza huu upapi wa nini makalioni? Unanshangaza!
Astaghafilullah....😳
 
Hata suzuki carry na cc 650 yake vinatoboa hadi malawi,zambia,congo..vizuri tu.
 
Raha Sana....
By JK Wa Msoga Chalinze Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…