Ushauri: Nataka kutafuta "Fundi Juma" mwenye uzoefu wa kujenga ghorofa ili kupunguza gharama

Na sometime unakuta una eneo zuri ila dogo sasa ukifanya cost benefit analysis unaona bora ujilipue tu ujenge kighorofa ubakie na nafasi ya parking na mambo mengine.
Kabisa kwa mfano Dar watu wangejenga ghorofa maeneo mengi yangekuwa wazi kuliko hivi sasa
 
Kabisa kwa mfano Dar watu wangejenga ghorofa maeneo mengi yangekuwa wazi kuliko hivi sasa
Na ingepunguza hata baadhi ya gharama za maisha, fikiria mtu anadrive toka mapinga/bagamoyo tena ndanindani mpaka posta kwenda na kurudi kwenye mishemishe zake. wakati angekuwa let say anakaa Mwenge angesave time na hela pia. Ndo maana wahindi, wachina ana duka chini anaishi juu, anafunga duka saa 11, then anafanya mazoezi then anaingia ibadani then anakutana na wenzake kudiscuss issue za biashara then anakaa na familia watoto ndugu then anameditate then analala. Mtu kama huyu lazima awe na utimamu wa afya, akili, aperform vizuri kwenye biashara na mambo mengine pia.
 
Weka picha mkuu, hatuelewi hiyo waffle
 
Mungwana hebu nijuze mkuu, unaposema waffle unamaanisha vitu kama hivyo hapo chini???
 
Unachekesha mkuu. Naongelea from experience tena hapo ni ghorofa 1 ukitaka lipendeleze minimum weka 300m bei ya kununulia kiwanja haihusiki hapo mkuu. Ningekuwa mhaya au kina Dotto ningetuma picha hapa nikuonyeshe ninapoishi
Sawa hiyo m300 kwa mchoro wako pengine ila hata M100 unajenga kali kabisa mpaka finishing yake. Mfano ghorofa ya upana wa mita 7 kwa 7 zile wanaita Mini casa, mpaka milioni 70/80 zile ndogo ndogo. Kwa hiyo si kila ghorofa ni kuanzia m200 mbona mnajitutumua sana kwamba wengine wasijenge au?
 
Wapo mkuu wengi tuu, changamoto Yao ni kwenye makadirio,mfano nondo 100anaweza sema 150au kinyume chake.
 
Sahihi kabisa Mkuu.
 
Yes tumia fundi maiko ila hakikisha unampa kazi ya kusimamia civil engineer mzoefu unakuwa unamlipa consultation fees kila akija site kwako kutoa ushauri. La sivyo utalia bila kupigwa
Huyo Civil Engineer ukimkabidhi kazi ya kusimamia. Mpe pia kazi ya kununua material. Atakuwa anapata bonus za madukani na hivyo atafanya kazi vizuri. Ila uwe mwangalifu, inatakiwa uwe na background history yake.
 
Kama hutojali Nicheki Whatsapp
0679169532.
Mimi sio Fundi Juma ni Mhandisi ujenzi.
Nitakupa hints za Nini Cha kufanya usijeishia kwenye kuacha gofu . Nimekuwa nikifanya ujenzi wa majengo ya makazi ya ghorofa Moja Moja mengi as freelance Civil Engineer!
 
Kabla ya kulishauri, naomba utuelekeze unapendwa uzikwe wapi?

Fundi Maiko wapo kibao. Bajeti yako tu. Anakutolea ghorofa kiwango hata kwa ramani ya kuchorea mchangani😀
 
ndp ikoje hii wafnle slab na je wanapatkana wap mafundi wake
 
Straight to my contacts list, ukibadili namba nijulishe Sasa mkuu
 
Ukiibadili tujulishane
 
Ukifika miaka 60 ilo ghorofa huliwezi tena kulipanda
 
Huko huko mbeleni utaona una mzigo mkubwa sana
Ghorofa zuri but Kuna wakati inafikia linaboa na kukuchosha hasa pale umri ukisogea mambo ya usafi ndani na nje ni changamoto hata uwe na dada wa kazi/houseboy. Maintenance yake huwa ni kuchosha akili tu
Acha uoga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…