Ushauri: Nataka kutafuta "Fundi Juma" mwenye uzoefu wa kujenga ghorofa ili kupunguza gharama

Ukifika miaka 60 ilo ghorofa huliwezi tena kulipanda
Hayo ni mawazo ya kimasikini. Kwani ni mangapi hataweza kufanya baada ya kufikisha miaka 60? Usioe mwanamke mzuri kwa sababu ukiwa 60 hutaweza kumgonga vizuri? Kwani usiseme usijenge kwa sababu muda wowote unaweza kufa?
Kwani mtuaji wa nyumba ni peke yake? Kwani rooms itakuwa ni ghorofani tu
 
Ata kuhesabu utakua huwezi mhasibu wa mchongo
 
Ukifika miaka 60 ilo ghorofa huliwezi tena kulipands
Sio kweli Kwa asilimia. Zote
Japo Kuna umri ukifika itakuwa shida I think 80+.

Ndio maana tunashauri at least juu na chini uwe na Bedroom ambayo Mungu akikupa umri mrefu sana 80+ huko utabadili matumizi utarudi ya chini ,
 
Tafuta engineer mzoefu mlipe kidogo then yeye ndiyo amsimamie huyo fundi juma sijui maiko
 
Mtafute fundi Michael hapo utakula bingo.
 
Raha ya ghorofa mgeni anakaa sebule moja chini huko wewe unapata chai sebule ya juu, hata kama anakudai anaweza kuondoka bila kukuona hata wezi wakikuvamia watahangaika kujua unalala wapi
Wezi huwa wanauziwa data zako na mtu wako wa karibu, mfanya kazi za ndani, ndugu au rafiki.
 
Ujenzi ni art with science
 
Kumbe kuna gh

Duh..7x7 hiyo ni ghorofa au Choo? Hata nyumba ya Chini 49sqm labda ujenge omboza
 
Kumbe kuna gh

Duh..7x7 hiyo ni ghorofa au Choo? Hata nyumba ya Chini 49sqm labda ujenge omboza
Kumbe kuna gh

Duh..7x7 hiyo ni ghorofa au Choo? Hata nyumba ya Chini 49sqm labda ujenge omboza
Huku jamii forum kila mtu mjuaji ndo shida hebu pita pita hata Google basi. Nyumba za kawaida za makazi nyingi ni mita 7 kwa 7, 7 kwa 8, 7kwa 9, sasa unasemaje itakuwa choo?

Hiki pia ni choo? Acheni maneno ya kike nyie
 
Attachments

  • Screenshot_20241023_161649_Chrome.jpg
    385.3 KB · Views: 21
Kumbe kuna gh

Duh..7x7 hiyo ni ghorofa au Choo? Hata nyumba ya Chini 49sqm labda ujenge omboza
Na hii pia ni choo? Nyie ndo maisha magumu, mnakuja kuwakatisha tamaa wenzenu huku mitandaoni, 7by7 mita inatoka ghorofa amazing kabisa! Eti omboza hata kuandika hujui!
 
Attachments

  • Screenshot_20241023_163615_Chrome.jpg
    532.7 KB · Views: 22
unaweza kujenga gholofa kwa kutumia wood,yani pale middle floor instead ya nondo na zege,ukaweka wooden floor..naona ni cheap,nina jenga 3bedroom house apartment,down floor na juu vina fanana(for apartment)..imesaidia pia hata kwenye msingi chini coz wooden middle floor hai bebi zege/nondo nyingi so sija tumia sana hela nyingi on base...kama u can angalia nyumba za U.K nyingi zina jengwa hivyo na ni cheaper.
*angalizo,usiwe ujenzi wa kuwaza,yani isiwize umeweka wooden middle floor,juu ujaziba mbao zita haribika,kwa middle floor ya zege hamna shida unaweza kwenda mdogo mdogo.
 
Imenivutia, weka picha mkuu. Ila nakuomba sana usitumie kingereza pasipo na haja, inakata stimu kusoma you can angalia
 
Unafanyia wapi hii mkuu? Naomba kuja kutembelea site
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…