OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hayo ni mawazo ya kimasikini. Kwani ni mangapi hataweza kufanya baada ya kufikisha miaka 60? Usioe mwanamke mzuri kwa sababu ukiwa 60 hutaweza kumgonga vizuri? Kwani usiseme usijenge kwa sababu muda wowote unaweza kufa?Ukifika miaka 60 ilo ghorofa huliwezi tena kulipanda
Kwani mtuaji wa nyumba ni peke yake? Kwani rooms itakuwa ni ghorofani tu