Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,733
Wanajamii hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha,nina vijana wako chuo na nisingependa wafahamu hili tatizo langu,tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili yangu instack, nahitaji ushauri wenu tafadhali ni serious issue na nimeitumia zaidi ya miaka 20.
Uandishi tu wenyewe unaonyesha umeitumia sana, onana na dr bingwa wa afya ya akili atakusaidia mkuu.
Ina maana ameitumia muda mrefu hadi ana watoto wako Chuo!!!Sawa mkuu
Mpaka sasa bado anatumia, amuone Wema anaweza kumsaidia.Ina maana ameitumia muda mrefu hadi ana watoto wako Chuo!!!
Mkuu unatuangusha Mimi first born wangu yupo Udsm lkn KITU ananinulia mke wangu na ananinyongea akitoka kazini km stock imepungua anampitia pusha Sina anampa.nikuulize una acha unaumwa au inakuzuru hiyo ni dawa usiache mkuu mikosi itakuandamaWanajamii hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha,nina vijana wako Tna nisingependa wafahamu hili tatizo langu,tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili yangu instack, nahitaji ushauri wenu tafadhali ni serious issue na nimeitumia zaidi ya miaka 20.
Kumwomba Mungu sawa ila kuokoka ni ngumu.Pole kwa uraibu huo.
Pia nikupe hongera kwa kutaka kuiacha hio tabia kwa hiyari yako.
USHAURI: Nenda katika Kanisa la watu WALIOOKOKA,omba kuonana na Mchungaji mweleze haja yako hio, atakuongoza katika sala ambayo nguvu za Mungu zitaingia ndani mwako na hio hamu ya kuvuta itatoweka ! Kimsingi, yako mambo ambayo kwa nguvu zetu hatuyawezi - hivyo tuahitaji msaada toka kwa Mungu. "MUNGU NI MWEZA WA YOTE".
karibu
Kwanini ngumuKumwomba Mungu sawa ila kuokoka ni ngumu.
Siamini kwenye haya makanisa ya wokovu,pia utaokokaje na bado unaishi humu duniani full of dhambi?Kwanini ngumu
Je, unaamini Biblia kuwa ni Neno la Mungu? labda tuanzie hapoSiamini kwenye haya makanisa ya wokovu,pia utaokokaje na bado unaishi humu duniani full of dhambi?
Aliyekwambia kuvuta Bangi ni tatizo nani?Wanajamii hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha,nina vijana wako chuo na nisingependa wafahamu hili tatizo langu,tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili yangu instack, nahitaji ushauri wenu tafadhali ni serious issue na nimeitumia zaidi ya miaka 20.