Ushauri: Natamani kuacha bangi

Ushauri: Natamani kuacha bangi

Inawezekena kuacha kabisa.... kamuone daktari.. atakusaidia..
 
kuvuta bhangi ni dhambi (ni ulevi) na ndio maana hata serikali inakataza!
Serikali ilikataza marijuana kwasababu ya mashinikizo ya nchi za magharibi na hii ilikuwa around 1970's.

Kabla ya hapo watu walikuwa wanatumia herbs kwa faida nyingi tu. Kutengeneza nyuzi, dawa, chakula cha mifugo na kadhalika.

Sasa hivi marijuana is legal in most states in the US

Vipi South Africa? Hujasikia juzi mahakama ya Cape Town wame legalize marijuana?

Side note: Kenya is discussing to legalize the herbs.

Wewe unaongelea dhambi?

Kitu unatakiwa ufahamu.......ndani ya jamii ya Jews marijuana ni moja ya jamii tano za mimea inayoheshimika zaidi. Unafahamu kwanini?

Mafuta ya marijuana yalitumika kuchanganya na mafuta ya mimea mingine kupata mafuta yakumpata Mfalme wakati anasimikwa.

And for your information.....King Solomon alikuwa anatumia herbs.

Ushahidi wa kiakiolojia unathibitisha hili. Masalia ya herbs (majivu) yalikutwa kwenye temple/palace yake.

Marijuana is the healing of the Nation.

Go and educate yourself
 
Sijui Nitaacha Lini...!?

Mmea wa Ajabu Sana Huu.. "EXTRA BRAIN"
 
kuvuta bhangi ni dhambi (ni ulevi) na ndio maana hata serikali inakataza!
Serikali inakataza dhambi zipi?Unywaji wa Konyagi,balimi,castle,whisk and wine au uvutaji wa bhang?Kunywa bia ni dhambi au si dhambi.Na kama ni dhambi serikali ipi imewahi kukemea dhambi hii?
 
Serikali ilikataza marijuana kwasababu ya mashinikizo ya nchi za magharibi na hii ilikuwa around 1970's.

Kabla ya hapo watu walikuwa wanatumia herbs kwa faida nyingi tu. Kutengeneza nyuzi, dawa, chakula cha mifugo na kadhalika.

Sasa hivi marijuana is legal in most states in the US

Vipi South Africa? Hujasikia juzi mahakama ya Cape Town wame legalize marijuana?

Side note: Kenya is discussing to legalize the herbs.

Wewe unaongelea dhambi?

Kitu unatakiwa ufahamu.......ndani ya jamii ya Jews marijuana ni moja ya jamii tano za mimea inayoheshimika zaidi. Unafahamu kwanini?

Mafuta ya marijuana yalitumika kuchanganya na mafuta ya mimea mingine kupata mafuta yakumpata Mfalme wakati anasimikwa.

And for your information.....King Solomon alikuwa anatumia herbs.

Ushahidi wa kiakiolojia unathibitisha hili. Masalia ya herbs (majivu) yalikutwa kwenye temple/palace yake.

Marijuana is the healing of the Nation.

Go and educate yourself
Marijuana (bhang) ni moja kati ya aina za madawa ya kulevya.
 
Serikali inakataza dhambi zipi?Unywaji wa Konyagi,balimi,castle,whisk and wine au uvutaji wa bhang?Kunywa bia ni dhambi au si dhambi.Na kama ni dhambi serikali ipi imewahi kukemea dhambi hii?
Serikali haikatazi bhang kwa sababu ni dhambi. Inakataza kwa sababu bhangi ina madhara makubwa ktk ufahamu wa wanadamu. Na kitu chochote kinachoharibu ufahamu sio kizuri hata kwenye maswala ya kiroho kwa kuwa mtu yeyote aliyeharibika ufahamu hawezi kumwabudu Mungu. " hivyo bangi kiserikali haifai; na kiroho haifai pia"
 
Pole sana.

Kenya soon wanaruhusu herbs halafu itafuata Tanzania

Excuses me when I light my spliff

Herb is good for the flu

Herb is good for asthma

Good for tuberculosis

Even umara composis

My advice for you is....go and educate yourself from unbiased sources about herbs
 
Halihitaji dr ulivyoanza kuvuta bangi uliomba ushauri ikiwa hukushauriwa kuanza kuvuta Basi hata kuacha bangi.acha kama ulivyo anza kuvuta bangi[emoji1119] ire
 
Lakini pombe haina shida ndio maana serikali haikupiga marufuku viroba[emoji12].Maana bhang ilikuwa inavutwa miaka yote lakini viroba ndio vikaonekana.Which is which?Hata sigara siyo dhambi maana haina madhara[emoji40]
 
Pole sana.

Kenya soon wanaruhusu herbs halafu itafuata Tanzania

Excuses me when I light my spliff

Herb is good for the flu

Herb is good for asthma

Good for tuberculosis

Even umara composis

My advice for you is....go and educate yourself from unbiased sources about herbs
Acha kuvuta bangi mkuu, itakupeleka pabaya.
 
Acha kufuata mafundisho yasiyo na mashiko mkuu utaangamia kwa kukosa maarifa
Kuangamiaja sasa!

Hata katika maisha ya kawaida ya kila siku mvuta bangi huwa anadharaulika sana. Au wewe ushakuwa ganzi kiasi kwamba hata huoni jamii inakuonaje
 
Nimekwambia nenda kajielimishe kuhusu herbs from unbiased sources

Mafundisho unayoamini ni matokeo ya kuwa brain-washed na huko ndiyo kuangamia kwenyewe.

Unajua kwa nini?

Kwasababu....mental slavery is one of the worst form of slavery.

Kuhusu jamii I really don't care what people think or say about me....I only care what is best for me and those close to my heart....see?

Social labeling was there since the time of Yeshua......I no afraid of them bad mind

ee8fe43c68ad662853d381208aa1f25a.jpg

123095d42db9cfe613ad5b02c4b9708f.jpg

bcb91bf55908a26cdbcbe2156c611a77.jpg

5907de56d8ada7753220751590a34f5a.jpg
 
Back
Top Bottom