Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,854
Zote hizo kwa ujumla ni bangi onesTarime one
Bariadi one
Arusha one
Njombe one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote hizo kwa ujumla ni bangi onesTarime one
Bariadi one
Arusha one
Njombe one
Yap,biblia ni neno la Mungu ndio,Je wewe unaelewa maana ya kuokoka?Je, unaamini Biblia kuwa ni Neno la Mungu? labda tuanzie hapo
Achaaa unahamasisha nikatafute baki la juzi dah!Aliyekwambia kuvuta Bangi ni tatizo nani?
View attachment 494187
Sioni ukweli katika hili.Mtu anaweza kuacha bila hata ya mchungaji maana wapo hata wachungaji wanaovut bhang.Ina maana mtu anayevuta akipelekwa kwenye kisiwa ambapo bhang haipatikani ataendelea kuvuta?Kuacha ni maamuzi ambayo lazima yaende kinyume na mazoea.Issue ni kushinda vishawishi vya kuendelea tu.Chukulia kama upo sehemu ambapo bhang haipatikani then ushindi unakuja.Pole kwa uraibu huo.
Pia nikupe hongera kwa kutaka kuiacha hio tabia kwa hiyari yako.
USHAURI: Nenda katika Kanisa la watu WALIOOKOKA,omba kuonana na Mchungaji mweleze haja yako hio, atakuongoza katika sala ambayo nguvu za Mungu zitaingia ndani mwako na hio hamu ya kuvuta itatoweka ! Kimsingi, yako mambo ambayo kwa nguvu zetu hatuyawezi - hivyo tuahitaji msaada toka kwa Mungu. "MUNGU NI MWEZA WA YOTE".
karibu
Nitajitahidi mkuu ila dah!Sioni ukweli katika hili.Mtu anaweza kuacha bila hata ya mchungaji maana wapo hata wachungaji wanaovut bhang.Ina maana mtu anayevuta akipelekwa kwenye kisiwa ambapo bhang haipatikani ataendelea kuvuta?Kuacha ni maamuzi ambayo lazima yaende kinyume na mazoea.Issue ni kushinda vishawishi vya kuendelea tu.Chukulia kama upo sehemu ambapo bhang haipatikani then ushindi unakuja.
Ndio ninajua maana ya KUOKOKA. Ndicho kilichomleta Yesu duniani hatimaye msalabani. Alisema " Nimekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea".Yap,biblia ni neno la Mungu ndio,Je wewe unaelewa maana ya kuokoka?
Unamwamini Mungu????Sioni ukweli katika hili.Mtu anaweza kuacha bila hata ya mchungaji maana wapo hata wachungaji wanaovut bhang.Ina maana mtu anayevuta akipelekwa kwenye kisiwa ambapo bhang haipatikani ataendelea kuvuta?Kuacha ni maamuzi ambayo lazima yaende kinyume na mazoea.Issue ni kushinda vishawishi vya kuendelea tu.Chukulia kama upo sehemu ambapo bhang haipatikani then ushindi unakuja.
Jitahidi kuchukulia kawaida tu pia kuwa bize ikibidi yaweke mbali mazingira na marafiki ambao wanaweza kukufanya uendelee kutumia.Si kuwatenga marafiki hao bali kujiweka mbali nao katika mambo hayo yaliyo kinyume.Lakini jiandae kukosa amani na kujihisi kama umetengwa na baadhi ya watu then watakuzoea na utaanza maisha mapya.Huwezi kuziona kasoro za bhang mpaka uiache maana bhang ina msimamo kama wa dini.Wewe si wa kwanza so unaweza.Nitajitahidi mkuu ila dah!
Ninamwamini Mungu wangu.Unamwamini Mungu????
Ndiye huyo Atusaidiaye kuziacha tabia tusizozipenda (dhambi).Ninamwamini Mungu wangu.
well said brother.Siamini kwenye haya makanisa ya wokovu,pia utaokokaje na bado unaishi humu duniani full of dhambi?
Mtu aliyeishi katika pori ambalo lina wanyama na mime mpaka kufikia ujana wake na akazeekea huko.Dhambi zake zikoje?Je kuvuta bhang ni dhambi au dhambi ni matendo mabaya yatokanayo na bhang?Huyu mtu hakuomba ushauri wa kuacha dhambi bali anataka kuacha bhang so tusitoke nje ya mada mkuu.Ndiye huyo Atusaidiaye kuziacha tabia tusizozipenda (dhambi).
Dhambi ina nguvu sana, kiasi kwamba hatuwezi kuziacha kwa nguvu zetu, ndio maana tunahitaji msaada toka kwa Mungu.
kuvuta bhangi ni dhambi (ni ulevi) na ndio maana hata serikali inakataza!Mtu aliyeishi katika pori ambalo lina wanyama na mime mpaka kufikia ujana wake na akazeekea huko.Dhambi zake zikoje?Je kuvuta bhang ni dhambi au dhambi ni matendo mabaya yatokanayo na bhang?Huyu mtu hakuomba ushauri wa kuacha dhambi bali anataka kuacha bhang so tusitoke nje ya mada mkuu.