Ushauri: Natamani kuacha bangi

Ushauri: Natamani kuacha bangi

Mkuu@Originally Posted by Blood of Jesus pole ndugu yangu.
 
Unajua unafiki mbaya sana.. Watumishi wangapi wanatumia hizo mambo!?

Halafu haifai kabisa kusema utumbo kama huo kisa dini.. Wengine mitindo yetu ya maisha inaambatana na sakramenti ya majani kama sehemu ya kupandisha uelewa na kujiweka karibu na uwepo wa Muumba afu mtu anakosoa kiboya boya kutumia imani yake.

Muumba hakuumba BANGI kwa Makosa.. Na Hakuna Kosa Ikitumiwa ktk hali yake ya uasili (pure).. Tofauti na hayo mengine ambayo ni man made kama sigara na madawa ya kulevya.

Ukiona unatumia then unafanya mambo ambayo yanakukosesha amani basi temana nayo
 
Ndugu bangi sio mbaya tatizo no mtazamo wa watu kuhusu hii kitu, wewe hujiulizi hizo nchi za kikoloni zilizotuambia bangi ni mbaya leo hii wote wanaihalalisha kwa kasi, illegalization of marijuana was due to business reasons, viwanda vya medicines na vile vya timber ndio vililoby serikali ya marekani wakafungia, kilimo cha bangi kingeua biashara zao.
Just smoke it!
 
Nimekwambia nenda kajielimishe kuhusu herbs from unbiased sources

Mafundisho unayoamini ni matokeo ya kuwa brain-washed na huko ndiyo kuangamia kwenyewe.

Unajua kwa nini?

Kwasababu....mental slavery is one of the worst form of slavery.

Kuhusu jamii I really don't care what people think or say about me....I only care what is best for me and those close to my heart....see?

Social labeling was there since the time of Yeshua......I no afraid of them bad mind

ee8fe43c68ad662853d381208aa1f25a.jpg


123095d42db9cfe613ad5b02c4b9708f.jpg


bcb91bf55908a26cdbcbe2156c611a77.jpg


5907de56d8ada7753220751590a34f5a.jpg
Usisahau kumuomba andiko linalokataza bhang na kuiharamisha.
 
daaa mbona nasikia hii kitu ukiitumia eti unakuwa unajihis kama upo New York umekaa na watu maaruf kma akina lily wyne,Jay z hivi ni kweli mkuu
 
daaa mbona nasikia hii kitu ukiitumia eti unakuwa unajihis kama upo New York umekaa na watu maaruf kma akina lily wyne,Jay z hivi ni kweli mkuu
Kama akili yako ina ufa utafikia kuhisi uko huko[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Usisahau kumuomba andiko linalokataza bhang na kuiharamisha.
Ghanja ni sacred plant hata kwe vitabu vya dini
Serikali ilikataza marijuana kwasababu ya mashinikizo ya nchi za magharibi na hii ilikuwa around 1970's.

Kabla ya hapo watu walikuwa wanatumia herbs kwa faida nyingi tu. Kutengeneza nyuzi, dawa, chakula cha mifugo na kadhalika.

Sasa hivi marijuana is legal in most states in the US

Vipi South Africa? Hujasikia juzi mahakama ya Cape Town wame legalize marijuana?

Side note: Kenya is discussing to legalize the herbs.

Wewe unaongelea dhambi?

Kitu unatakiwa ufahamu.......ndani ya jamii ya Jews marijuana ni moja ya jamii tano za mimea inayoheshimika zaidi. Unafahamu kwanini?

Mafuta ya marijuana yalitumika kuchanganya na mafuta ya mimea mingine kupata mafuta yakumpata Mfalme wakati anasimikwa.

And for your information.....King Solomon alikuwa anatumia herbs.

Ushahidi wa kiakiolojia unathibitisha hili. Masalia ya herbs (majivu) yalikutwa kwenye temple/palace yake.

Marijuana is the healing of the Nation.

Go and educate yourself
Na kabla ya hapo marekani ndo wakwanza kuiban bange kwakuwa ilikua inaharibu soko la tumbaku na serikali na matajiri walikua wanategemea sigara kupata kodi n kuendesha uchumi...ndo maana States mbalimbali wanalegalize it[emoji261] [emoji261] [emoji261] [emoji261] [emoji256] [emoji256] [emoji256] [emoji256]
 
Ghanja ni sacred plant hata kwe vitabu vya dini

Na kabla ya hapo marekani ndo wakwanza kuihaban bange kwakuwa ilikua inaharibu soko la tumbaku na serikali na matajiri walikua wanategemea sigara kupata kodi n kuendesha uchumi...ndo maana States mbalimbali wanalegalize it[emoji261] [emoji261] [emoji261] [emoji261] [emoji256] [emoji256] [emoji256] [emoji256]
Let dem legalize it.raaaaahraah.
 
Mkuu unatuangusha Mimi first born wangu yupo Udsm lkn KITU ananinulia mke wangu na ananinyongea akitoka kazini km stock imepungua anampitia pusha Sina anampa.nikuulize una acha unaumwa au inakuzuru hiyo ni dawa usiache mkuu mikosi itakuandama
Nlitaka kuuliza anaacha kwa sababu gani
 
kuvuta bhangi ni dhambi (ni ulevi) na ndio maana hata serikali inakataza


Hivi mmewahi kujiuliza kwanini serikali nyingine duniani wanaruhusu watu wavute kwa kujiburudisha? Utafiti wa kisayansi umeonesha kuwa matumizi ya sigara na pombe yana madhara makubwa zaidi kwa binadamu kuliko matumizi ya bangi lakini havijapigwa marufuku na serikali kwasababu ni vyanzo vyake vya mapato!!!

Nchi ya Canada na nyie Bongo ni nchi gani imeendelea zaidi katika hizo mbili? Tuwe makini na kuendeleza sheria za kikoloni ambazo ziliwekwa ili kutudumaza; utumiaji wa huu mmea kama burudani na dawa umekuwepo nchini mwetu toka enzi za mababu na mabibi. Kule Njombe wakina mama waliojifungua hupewa uji uliotiwa mbegu za mmea huu ili kuongeza maziwa ya kumyonyesha mtoto mchanga . Huko ulaya mmea huu unatumika sana kama dawa na kuuzwa kwenye pharmacies lakini sisi tunawakamata wananchi na kuwafunga jela kwa kuwa na hata mche mmoja kando ya nyumba!!
 
Back
Top Bottom