Ushauri: Natamani kuacha bangi

Ushauri: Natamani kuacha bangi

Nashindwa kumuelewa mm watoto hawajui ila mke wangu anajua mpaka kuninyongea tuna miaka 12 ya ndoa ondoa ya uchumba na ananiambia nimeshakuwa mtu mzima nivutie nyumbani
Tatizo watu wanakasumba mkuu. hata ukikutana na mimi huwezi amini natumia hiyo kitu.wala ndugu na jamaa hawafamu,sababu niko normal kabisa
 
Tatizo watu wanakasumba mkuu. hata ukikutana na mimi huwezi amini natumia hiyo kitu.wala ndugu na jamaa hawafamu,sababu niko normal kabisa
Mkuu nimeanza kula mmea toka nipo std V Uhuru primary nikafauru boys nikapasua chuo sijawahi kuona madhara ya mmea na Nikila mjani nakuwa nipo vzr sn
 
Umetumia kwa miaka 20. Wanasema bangi ina madhara. Je waweza kutueleza ni madhara gani hasa uliyoyapata kutokana na kuvuta bangi? Na nini hasa kinapelekea wewe kutaka kuacha?
Tupe elimu!
 
Mkuu nimeanza kula mmea toka nipo std V Uhuru primary nikafauru boys nikapasua chuo sijawahi kuona madhara ya mmea na Nikila mjani nakuwa nipo vzr sn
Ganja sio ya kila mtu kuna vichwa haviwezi hii kitu.na pia haitakiwi kuiabuse.vuta kwa ratiba maalumu,kula vizuri.usiitumie sababu unastress
 
Umetumia kwa miaka 20. Wanasema bangi ina madhara. Je waweza kutueleza ni madhara gani hasa uliyoyapata kutokana na kuvuta bangi? Na nini hasa kinapelekea wewe kutaka kuacha?
Tupe elimu!
Sijaona madhara yoyote mkuu,ila ujue kila mtu ana kichwa chake,yawezekana kwa kutumia kwangu hii chagha inaweza kuincourage vijana wangu kutumia na kama wana vichwa vya panzi dah!
 
Wanajamii,

Hii makitu nimeitumia muda mrefu sana naona muda umefika wa kuacha, nina vijana wako chuo na nisingependa wafahamu hili tatizo langu, tatizo kila nikiamua kuipotezea hata wiki akili yangu instack.

Nahitaji ushauri wenu tafadhali ni serious issue na nimeitumia zaidi ya miaka 20.
Jina lako tu la profile linasadifu ukisemacho.
 
Mkuu unatuangusha Mimi first born wangu yupo Udsm lkn KITU ananinulia mke wangu na ananinyongea akitoka kazini km stock imepungua anampitia pusha Sina anampa.nikuulize una acha unaumwa au inakuzuru hiyo ni dawa usiache mkuu mikosi itakuandama
Sawa mkushi nimekubali lifestyle yako.Wife anakutolea stick imesimama kama sigara kali au phantom.
 
Sijaona madhara yoyote mkuu,ila ujue kila mtu ana kichwa chake,yawezekana kwa kutumia kwangu hii chagha inaweza kuincourage vijana wangu kutumia na kama wana vichwa vya panzi dah!
Yap vijana hawatakiwi kujua unatumia maana wanaweza kuiga. Bora waanze kuvuta kivyaovyao na si kukufata wewe. Usiache bana...ha haaaa
 
Haijawahi kunipeleka pabaya kwa muda wote wa 20years nahudumia my family like always,na nikiitumia thinking capacity yangu naiona iko juu but nahitaji kuacha kwa faida ya jamii ninayoiacha nyuma.
Thinking capacity itashuka!
 
Kwann uache wenzio uku Arusha tunavuta mpka miaka 40 we mbona bado sana una mda wa kunyonya moto labda nikupe minu mpya za kuvuta ili watoto wako wasijue
 
Ebu nipe mstari kwenye biblia ulio andika kuvuta bangi ni dhambi au kukataza tu.. Bangi aina madhara its positive to the body bt it depend on you're mind how u take it as..? Kama ni infection itaku effect mm nina babu yangu mpaka Leo anavuta na yupo sawa tu.. Uku Arusha familia ikikuona unakunya pombe unaonekana kama mtu ulipotea bt ukivuta bangi ni bora
 
Nashindwa kumuelewa mm watoto hawajui ila mke wangu anajua mpaka kuninyongea tuna miaka 12 ya ndoa ondoa ya uchumba na ananiambia nimeshakuwa mtu mzima nivutie nyumbani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom