Ushauri: Natamani kuacha bangi

Mkuu@Originally Posted by Blood of Jesus pole ndugu yangu.
 
Unajua unafiki mbaya sana.. Watumishi wangapi wanatumia hizo mambo!?

Halafu haifai kabisa kusema utumbo kama huo kisa dini.. Wengine mitindo yetu ya maisha inaambatana na sakramenti ya majani kama sehemu ya kupandisha uelewa na kujiweka karibu na uwepo wa Muumba afu mtu anakosoa kiboya boya kutumia imani yake.

Muumba hakuumba BANGI kwa Makosa.. Na Hakuna Kosa Ikitumiwa ktk hali yake ya uasili (pure).. Tofauti na hayo mengine ambayo ni man made kama sigara na madawa ya kulevya.

Ukiona unatumia then unafanya mambo ambayo yanakukosesha amani basi temana nayo
 
Ndugu bangi sio mbaya tatizo no mtazamo wa watu kuhusu hii kitu, wewe hujiulizi hizo nchi za kikoloni zilizotuambia bangi ni mbaya leo hii wote wanaihalalisha kwa kasi, illegalization of marijuana was due to business reasons, viwanda vya medicines na vile vya timber ndio vililoby serikali ya marekani wakafungia, kilimo cha bangi kingeua biashara zao.
Just smoke it!
 
Usisahau kumuomba andiko linalokataza bhang na kuiharamisha.
 
daaa mbona nasikia hii kitu ukiitumia eti unakuwa unajihis kama upo New York umekaa na watu maaruf kma akina lily wyne,Jay z hivi ni kweli mkuu
 
daaa mbona nasikia hii kitu ukiitumia eti unakuwa unajihis kama upo New York umekaa na watu maaruf kma akina lily wyne,Jay z hivi ni kweli mkuu
Kama akili yako ina ufa utafikia kuhisi uko huko[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Usisahau kumuomba andiko linalokataza bhang na kuiharamisha.
Ghanja ni sacred plant hata kwe vitabu vya dini
Na kabla ya hapo marekani ndo wakwanza kuiban bange kwakuwa ilikua inaharibu soko la tumbaku na serikali na matajiri walikua wanategemea sigara kupata kodi n kuendesha uchumi...ndo maana States mbalimbali wanalegalize it[emoji261] [emoji261] [emoji261] [emoji261] [emoji256] [emoji256] [emoji256] [emoji256]
 
Let dem legalize it.raaaaahraah.
 
Mkuu unatuangusha Mimi first born wangu yupo Udsm lkn KITU ananinulia mke wangu na ananinyongea akitoka kazini km stock imepungua anampitia pusha Sina anampa.nikuulize una acha unaumwa au inakuzuru hiyo ni dawa usiache mkuu mikosi itakuandama
Nlitaka kuuliza anaacha kwa sababu gani
 
kuvuta bhangi ni dhambi (ni ulevi) na ndio maana hata serikali inakataza


Hivi mmewahi kujiuliza kwanini serikali nyingine duniani wanaruhusu watu wavute kwa kujiburudisha? Utafiti wa kisayansi umeonesha kuwa matumizi ya sigara na pombe yana madhara makubwa zaidi kwa binadamu kuliko matumizi ya bangi lakini havijapigwa marufuku na serikali kwasababu ni vyanzo vyake vya mapato!!!

Nchi ya Canada na nyie Bongo ni nchi gani imeendelea zaidi katika hizo mbili? Tuwe makini na kuendeleza sheria za kikoloni ambazo ziliwekwa ili kutudumaza; utumiaji wa huu mmea kama burudani na dawa umekuwepo nchini mwetu toka enzi za mababu na mabibi. Kule Njombe wakina mama waliojifungua hupewa uji uliotiwa mbegu za mmea huu ili kuongeza maziwa ya kumyonyesha mtoto mchanga . Huko ulaya mmea huu unatumika sana kama dawa na kuuzwa kwenye pharmacies lakini sisi tunawakamata wananchi na kuwafunga jela kwa kuwa na hata mche mmoja kando ya nyumba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…