Ushauri: Naweza msafirisha Mjamzito wa miezi 7?


Duh pole na hongera sana
 
Ah mm hasira ni daily jamani...dah ningekuwa ww ningezaa kama zamaradi aise!..mm pia kwenye kula ah niko vyema...huwa naadd weight balaa na mitoto.inakuwa mibonge.ah sitak tena
 
Hahahaa...una balaa wewe
 
Ah mm hasira ni daily jamani...dah ningekuwa ww ningezaa kama zamaradi aise!..mm pia kwenye kula ah niko vyema...huwa naadd weight balaa na mitoto.inakuwa mibonge.ah sitak tena

Hahaaaa nakumbuka kuna nesi aliniambia angekuwa na uzazi kama wangu angezaa kila mwaka
 
Aisee nimecheka kweli kwani mke wangu hivyo hivyo. Hili la kulazisha ugomvi ndiyo usiseme. Nilikuwa nadhani ana-act na sikudhani yuko mwanamke mwingine anayefanya hivyo. Unaona sasa faida ya forum kama hizi. Nakumbuka kuna kipindi nilisafiri kurudi nikakuta picha yangu iliyokuwa ukutani ameishua na kutupa kule. Kumuuliza akasema inamletea kichefuchefu 🤣. Nikilala kitandani ananiambia ondoka nitandike. Nikihamia sebuleni ananifuata. Kuna kipindi nilienda naye kwetu alinitia aibukwani hawezi kujizuia kabisa ana anakuwa na emotions kweli.
 
šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ™ŒšŸ¾šŸ‘šŸ½
 

Binafsi huwa najichukia kwa hilo
Niliwahi kumwaga maji kitandani kisa mtu amelala mi sina usingizi [emoji23][emoji23]
 
Hahahhahahaaa...tupo wengi jamani! Khaa jamani mimba hainaga adabu!imagine 9 mths huongei na mumeo jaman..sema na yy ilibidi aweze!
Yaani ni heka heka za ajabu!poleni kwakweli..wala hatujifanyishi....nikifika kwa dk kama ni.men namuomba karatasi naandika nachoumwa🤣
 
Mimba hazifanani kabisa
Mimba yangu ya kwanza nilikuwa very active

Ya pili sasa[emoji23]
Nikishiba tu nalala popote
Mm hadi road nalala pembeni sina wasi wasi na mtu.hata siwazi kuchafuka nalala kbs..dah..naburutaga tumbo balaa

Ila kweli laana ya mama ni kali sana
 

Wanasema ukichukia wanaume unajifungua kidume [emoji2368]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…