Zingatia
1) Aina ya usafiri unaotumia
2) Hali yake ya kiafya mfano kama alishakuwa na complications za ujauzito akapewa masharti kadhaa, kwa mfano kama alishapata Miscarriage anaweza asiruhusiwe na daktari, kuna ninayemfahamu ana mimba ya miezi mitatu tu (3) lakini ameambiwa asipande bodaboda, at least bajaji au boxer kidogo kwa tahadhari.
3) Pia zingatia hali ya barabara mpaka hapo atakapofikia mwisho wa safari.
NB: Mimi kama mimi kama ni Mke wangu simsafirishi kabisa, namuacha apumzike hata kama barabara ni ya sakafu mwanzo mwisho.
Sikuhizi Mwanamke kubeba ujauzito salama mpaka stage ya mwisho sio jambo rahisi tofauti na zamani, mambo ni mengi sijui pressure za mimba n.k