Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

Kusafiri kwenda ng'ambo kunahitaji ujasiri sana, muda mwingine unaweza kuhisi umechanganyikiwa lakini amini hata siku unaanza safari utakutana na wazamiaji wezako iwe kwenye ndege, basi ama meli. Ukifika utashangaa unakutana na wenyeji tena mnatokea mkoa mmoja. Nakuambia hautajuta hasa ukiwa na tabia njema, kujituma na kujishusha. Utofauti wetu wazamiaji ni aina ya safari yako iko vipi. Ukiwa na mwenyeji mbona utajuta hata kufikisha umri huo hujazamia. Nenda bwana japo mimi ulaya sijawahi kupawaza tofauti na South Africa&Botswana ambapo wanaishi mashemeji zako
 
Asante mkuu
 
Utapoteza muda bure kwenda ulaya, usitishwe na ccm kuiharibu nchi, wao siyo Mungu, katafute mbuga ya vitunguu au tangawizi ulime, heka mbili tu utapiga zaidi ya mil 12 baada ya miezi mitatu, kukimbia nchi ambayo haina Vita ni mawazo ya kizamani Sana.
 
Unaenda kutafuta maisha Ulaya na nauli unayo, kwanini hiyo naul usitumie kujiari hapa hapa kwenhe Tanzania ya viwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…