Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani

Dawa nikulifanya zoezi kwa ujumla bila kumtaja mtu watajipambanua ndani ya zoezi! Wasipokata kibari tunawasondeka lupango mwezi mmoja na kutaifisha vyombo vya mziki ambavyo havina usajili
Hii ni nzuri sana na itapunguza makelele ila tatizo hao ni wapiga kura wetu!
 
Kuna pikipiki zinapiga kelele hizo
 
Hii ni nzuri sana na itapunguza makelele ila tatizo hao ni wapiga kura wetu!
Bro! Wanaopigiwa kelele nao ni wapiga kura!
USAJILI ndiyo njia pekee ambayo haina kelele kuweza kuondoa huo uchafuzi wa mazingira!
Kama TOZO limewezekana hilo halishindikani!.
NEMC wanakosa pesa za bure kutoa GAWIO KWA SERIKALI
 
Kuna haya makanisa uchwara yanapiga kelele unakuta wamekodi nyumba kwenye makazi ya watu, usiku wanatumia speaker usiku kucha waweza usilale na wao hawajali waanze kupigwa fine
 
Kuna haya makanisa uchwara yanapiga kelele unakuta wamekodi nyumba kwenye makazi ya watu, usiku wanatumia speaker usiku kucha waweza usilale na wao hawajali waanze kupigwa fine
Dawa ni kusajili spika wasipolipa ZINATAIFISHWA!
 
Wameshindwa kutuondolea viwanda bubu vinavyochoma nailoni usiku kucha watu hawawali kwa moshi na harufu ya nailoni ndo muziki watawaweza
 
NEMC wenye wanasemaje au wapo zao bar hizohizo wanabwia mvinyo..

Yaani mkuu ndio ulitakiwa kuwa hapo NEMC mawazo mazuri kabisa.
 
Tatizo liko kwenye usimamizi, sheria zipo lakini viongozi watendaji ngazi za chini wanaona aibu kusimamia sheria. Mfano kero ya kelele kwenye makazi ya watu, boda boda wanaofunga vyombo vya muziki kwenye piki piki zao...Haya ni mambo yanayoweza kushughulikiwa ndani ya wiki moja watu wakashika adabu....

Siku za hivi karibuni umezuka mtindo wa madereva wa boda boda kuburuza nondo, mbao, milango kwenye lami badala ya kupakia mzigo, viongozi wa Serikali za mitaa wapo wanaona na wanawajua wakiukaji wa sheria, lakini wamefumba macho na masikio, matokeo yake watu wa usalama barabarani na Polisi waneona fursa za kujinufaisha!.
 
Duh umeeleza bayana
 
Kuna Makanisa yanafujo

Kelele nyingii ukiingia unakuta watu wanne
 
Wameshindwa kutuondolea viwanda bubu vinavyochoma nailoni usiku kucha watu hawawali kwa moshi na harufu ya nailoni ndo muziki watawaweza
Tuwapatie mawazo labda itawasaidia
 
Tuanze na hao wa muziki. Tutakuja wa Makanisa na Misikiti.
Kwa upande wa misikiti ni swalah tu ya asubuhi mchana na njion kwa muda wote wanaotumia haizidi hata dakika 15 kwa siku nzima. Wakatholiku ni kengere ya asubuhi mchana na jion . Lakini Kuna wale walokole ukweli wanakera
Siku hizi baadhi ya makanisa kama vilabu vya pombe za kyenyeji
 
Hii nchi ngumu sana, kuna wale wanauza dawa za mende sijui panya yaaani wana spika zao zinazingua sana, na mabodaboda yanawekz miziki kwa sauti ya juu na wenye convenient stores, ana uza beers, ana mteja mmoja anafungulia mziki sauti mpaka mtaa wa tatu. Nchi ngumu sana, washamba ni wengi sana
 
Wafanye hii approach watawasort wote ndani ya mchakato!
Wajikite kwenye USAJILI na udhibiti wa spika in general kwa viwango
 
WABONGO unawajuwa lakini wewe? Wataomba kibari cha piano! Lakini huko ndani watafunga busta za sebene!
Ndomboro ya yesu itapigwa kama kawa! Na watatoa ushuhuda kwamba yesu katenda miujiza ya busta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…