Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani

Kabla ya NEMC kwanza halmashauri ambao wao ndio hutoa izo leseni za biashara ktk maeneo yao ndio wanapaswa waanze kwanza kuhakikisha waombaji wanakishi vigezo
 
Kabla ya NEMC kwanza halmashauri ambao wao ndio hutoa izo leseni za biashara ktk maeneo yao ndio wanapaswa waanze kwanza kuhakikisha waombaji wanakishi vigezo
Halimashauri zimejaa rushwa mtupu hilo zoezi nyeti hawaliwezi!
 
Dah, wapitishe wazo lako hata sasahivi. Ukikaa karibu na nyumba fulani za ibada kuwahi kulala au kuamka kwa kuchelewa kunategemeana na waumini watakavyoamua.
 
Dah, wapitishe wazo lako hata sasahivi. Ukikaa karibu na nyumba fulani za ibada kuwahi kulala au kuamka kwa kuchelewa kunategemeana na waumini watakavyoamua.
Njia pekee ya kistaarabu ni hiyo! Lakini ile yakuwaomba haiwezi kufanikiwa! Kwanza wanaamini kuzima mziki ni pepo mchafu!
Just imagine hata umeme ukikatika huwa wanazani ni pepo limekata umeme!
Hivyo kuwacontrol watu wa namna hii NJIA PEKEE NI DISCOURAGE APPROACH!
wawekee bei! Ya USAJILI WA SPIKA tena bei kubwa! Wapo wataweza wachache lakini nao mwisho wa siku wataacha!

Walifanikisha hilo kwenye chainsaw hawashindwi kwenye mziki
 
Mahubiri hayawezi kuwa kero lakini kelele za spika ndiyo kero!
NEMC hawasajili mahubiri Bali Wanasajili VYOMBO vya mziki!

Asiyetii mamlaka za duniani hawezi pia kutii za mbiguni! SPIKA ZINATAIFISHWA VIZURI TU! Wakishindwa NEMC watoe tenda kwa makampuni madalali mfano Yale makampuni wanaopiga minada nyumba!

Wanafurusha inje hata ndani kuna mgonjwa sembuse hao wa SIPIKA!

Mungu hasikilizi mkaidi asiyezibgatia utaratibu
 
Ukitaka kumkamata adui mbatize jina baya kwanza!
Hii oparesheni ya SPIKA inapendeza wakianza waipe kauli mbiu mfano "TUJULISHE KUTOKOMEZA NZIGE MTAANI"
 
Hizo sound meter zifungwe nje kila mtu aweze kusoma
 
Research sheria za serikali za mitaa (municipalities )zipo sheria zinazohusu mambo haya including maduka ya kiti moto,utekelezaji ni zero
Wanapita backdoor wanachukua rushwa
 
Ukitaka kumkamata adui mbatize jina baya kwanza!
Hii oparesheni ya SPIKA inapendeza wakianza waipe kauli mbiu mfano "TUJULISHE KUTOKOMEZA NZIGE MTAANI"
Hahahaaa hadi kauli mbiu aisee mkuu naona umejipanga ebu wakupe ukurugenzi wa NEMC unaweza ukawa na jambo
 
Kuna kanisa walikua wanaamka saa kumi alfajiri kusali.
Wana spika zimewekwa nje aisee sauti inayotoka hapo lazima uamke tu.

Ajabu sasa unakuta kanisa asubuhi hiyo hawazidi hata watu 5. Utamkuta mchingaji na waumini 2 wakizidi sana ni 4. Ila kelele zake ni za watu 400.
 
Kuna taasisi za serikali zipozipo tu wala hazina impact yoyote kwa watanzania moja wapo ni hiyo NEMC nyingine ni wakala wa vipimo
 
Kuna taasisi za serikali zipozipo tu wala hazina impact yoyote kwa watanzania moja wapo ni hiyo NEMC nyingine ni wakala wa vipimo
Na wanalipwa mishahara bora taasisi kama hizo zifutwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…