PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Foresta za mil.40 mbona zipo nyingi barabarani hasa zile za kuanzia mwaka 2014 -2017Subaru ya 43 Million siyo mchezo Mkuu..
Subaru Forester kali zinaanzia 25M to 35M. Ukiipata ya 40 kwa mwaka huo basi Mileage zake zipo chini sana bila shaka.
Kasema ya 2013. Ya 40m ipo katika hali gani?Foresta za mil.40 mbona zipo nyingi barabarani hasa zile za kuanzia mwaka 2014 -2017
Kati ya gari hizi mbili ambazo naona kwasasa zinanunuliwa sana kwenye miji mikubwa zikiwa na namba E, ipi inafaa zaidi kwa matumizi ya kawaida ya mjini.
Zote ni 2.0 AT petrol za mwaka 2013/14 na zote ni all wheel drive/4WD.
Wenye uzoefu na hizi gari msaada.
Budget yake ni kuanzia 43m mpaka 50m kwasasa.
View attachment 2572508
View attachment 2572511
Yes N20 ni kichomi, kitu cha kwanza ajiandae nacho kisaikolijia ni timing chain.Sijui kuhusu Subaru, ila achana na iyo BMW 2.0 achana nayo kabisa, BMW sio wazuri sana kwenye kutengeza 4 cylinders inline.
Nashauri kama utataka BMW chukua ya kuanzia cc 2500 ya 6 cylinders. Kwa huo mwaka itakua BMW F25 2013, 3.0L N52 hii haina turbo au N55 I6 hii ina twin turbo (sikushauri sana).
Ukijipush ya 2014 waliifanyia update kidogo ya muonekano (facelift)
Mfano kabla ya Facelift 2013 ilikua hivi:
View attachment 2572555
Hafu baada ya Facelift ikawa hivi:
View attachment 2572556
Hawa jamaa kwenye 6 cylinders walituliza mabichwa aisee.
😂Nikiamini mtu anaenunua gari la Mil 40+ (mtoa mada) hawezi sema ulaji wa mafuta vipi?
Akili ambayo BMW wanatumia kwenye engine sio za kawaida, hapa iwe Toyota au Subaru forester hawawezi kufurukuta Kwa Nyanja zoteYes N20 ni kichomi, kitu cha kwanza ajiandae nacho kisaikolijia ni timing chain.
Japo N20 zilizotengenezwa baada ya 2015 walifix hiyo ishu.
Pia kuhusu turb N55 siyo twin turbo ila ni Twin power turbo au twin scroll turbo. Inakuwa turbo moja tu ila inakuwa na inlet mbili za exhaust gas tofauti turbo ya kawaida ambapo inakuwa na inlet moja tu.
Hii twin scroll inazalisha nguvu kubwa almost the same na turbo mbili zikiwekwa hapo. Mfano N55 inazalisha HP Sawa na N54 ambayo ina Twin turbo. Ila N55 ina Twin Scroll turbo.
Ngewatu wangejua utamu wa Subaru, wasingekua wanajiuliza... Subaru yoyote ichukue tu
Sasa mimi nimshauri ndugu Fisadi kuu kama hataki Subaru basi hakuna gari atakayokwenda anunue ndege binafsi 🤸Subaru ya 43 Million siyo mchezo Mkuu..
Subaru Forester kali zinaanzia 25M to 35M. Ukiipata ya 40 kwa mwaka huo basi Mileage zake zipo chini sana bila shaka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Do what you feel comfortable by your own intuition.
Ila fuata ushauri wa watalaamu ambao Ni mechanical Engineers ,ama fundi gereji wakubwa wanafanya kazi kitalaamu,chukua sample Kama tano ama kumi baadaye average Basi unapata precision experimental data ufanye conclusion about durability, quality, affordability, management, services, repairs,spares,oil consumption, mechanical strength in case of head on collusion, horse power, endurance to work long than other.
Nimeshauri kiuchumi na kisayansi na na hesabu Nimetumia branch ya probability
Ulikua ugonjwa wangu huu. Nikawa nanunua pumps za kichina za 750k na thermostat za 300k nilibadirisha mara 2 kwa mwaka hivi. Nobble Cars wakaja niuzia moja ya kijerumani 1,500K na thermostat ya 850K ndio vilikaa hadi nauza.2. Expasion tank, Thermostat na Water pump
Ulikua ugonjwa wangu huu. Nikawa nanunua pumps za kichina za 750k na thermostat za 300k nilibadirisha mara 2 kwa mwaka hivi. Nobble Cars wakaja niuzia moja ya kijerumani 1,500K na thermostat ya 850K ndio vilikaa hadi nauza.
Nikiona BMW E90 njiani nacheka tu.
Baada ya comments za wataalamu hapo juu
Basi Mazda CX-5 inabaki kuwa chaguo langu [emoji28]
This gonna be my next mid-SUV move[emoji91]
Na za petrol zinahitaji hii kitu au za diesel tu…kama ukiwahi kutoa dpf na kufanya dpf delete kabla haijaua cylinder head gasket na turbo. Na si comfortable sana kama hizo nyingine. Haya ni mapungufu yake
Na za petrol zinahitaji hii kitu au za diesel tu
Ila nimegundua za petrol bei yake imechangamka kidogo kuliko za diesel, hv hyo automation hapa bongo inafanyika au ni mpaka huko mambeleDiesel tu ndo zina hizi shida. Za petrol hazina haja ya kufanya hivi. Petrol engines za 2.0 hazina power sana but economical, na za 2.5 zina power ila zinakunywa kidogo (kama unajali ulaji mafuta)
Advantage kubwa ya engine za diesel ni balance ya nguvu na consumption ya mafuta
Sijui kuhusu Subaru, ila achana na iyo BMW 2.0 achana nayo kabisa, BMW sio wazuri sana kwenye kutengeza 4 cylinders inline.
Nashauri kama utataka BMW chukua ya kuanzia cc 2500 ya 6 cylinders. Kwa huo mwaka itakua BMW F25 2013, 3.0L N52 hii haina turbo au N55 I6 hii ina twin turbo (sikushauri sana).
Ukijipush ya 2014 waliifanyia update kidogo ya muonekano (facelift)
Mfano kabla ya Facelift 2013 ilikua hivi:
View attachment 2572555
Hafu baada ya Facelift ikawa hivi:
View attachment 2572556
Hawa jamaa kwenye 6 cylinders walituliza mabichwa aisee.
Kabla haujanunua BMW, angalia mtaani kwenu unaziona namba C ngapi? Au namba D za mwanzo mwazo DA, DB, DC hadi kama DJ kurudi. Kama hamna jiulize zilikua hazinunuliwi au zimeenda wapi? (Hii sio topic kuu just jiulize mwenyewe)
Upo sahihi. X1 ya E84 nayo wana 4 cylinders engine yenye code N46 na wana 6 cylinders engine yenye code N52 na N55 ya turbo.
Oya, N52 engine aisee.
Nikiamini mtu anaenunua gari la Mil 40+ (mtoa mada) hawezi sema ulaji wa mafuta vipi?