Ushauri: Nichague ipi kati ya BMW X3 2013 au Subaru Forester 2013

Kwa hisani ya bwana Extrovert naomba niunge mkono hoja hii[emoji23][emoji23]

Wabongo tunaigana sana jamani eee kuna vyuma zaidi ya vile tunanunua kwa kuigana.
 
3.0 consumption ni kubwa (petrol) pengine ni bora hata x5 zile za 2007-2009.
Naziona nyingi hizi 2.0, kama hutojali tatizo lake ni nini hasa?
Ukiwa na hela zetu izi za kutafuta kwa jasho, achana na BMW yenye umri zaidi ya miaka 10.

Ukicheki online Japan unakuta BMW yenye mwaka mmoja/sawa na Toyota IST, hafu IST inauzwa gharama zaidi ya BMW.

WHY?

RUNNING COSTS MZEE.
 

Hahah you can always tell if someone is smart
 
Cc2500 diesel au petrol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…