Ushauri: Niende jeshi au niendelee na biashara zangu?

Chagua mwenyewe kua mfanya biashara au mlinzi na kunyenyekea wenye vyeo

Sisi usituulize,iwapo hujaweza kwendana na elimu yako hii sasa utashauriwa nini na watu ambao yamkini wana elimu ndogo humu
 
Biashara yako sasa hivi Ina mtaji wa Shilingi ngapi??,Km ni zaidi ya Milioni hamsini basi usiende huko jeshi, Lkn km ni chini ya hapo nenda tu maana maisha ni sarakasi.
 
ANGALIZO: Mnaotoa ushauri pitieni huu uzi wake mwingine....


Hizo Biashara ni za Baba yake (familia) na ndio maana wazazi wake wana Power ya kumdai CV,,, hakuna mtu anayeingiza 500k kwa siku halafu wazazi wako wakulazimishe kwenda Jeshini....

Mkuu tuamini lipi kati ya hayo..?????
 
Endelea na biashara zako... Pia za kuambiwa changanya na za kwako...
 
Endelea kufanya biashara yako.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwamba
 
😂😂😂 Msweden kweli wewe ni kiazi

ukiwa muongo uwe na kumbukumbuu
 
Mada kama hizi 95% huwa ni uongo.


Unakuta mnatiririka kumbe jamaa anawachora tu.
 
Jamii forums kila mtu ana mchongo unaompatia faida kubwa kwa siku….[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pole sana,kwa jinsi ulivyojielezea utatoroka hata hyo kozi,sawa leo una atakaye kusaidia kuingia lakini ukishaingia ni wewe mwenyewe,utafata muongozo,hivi ukaingia ukawa private afu ukaanza kushika chuma angalau mara tatu kwa wiki utajisikiaje?
 
Jamaa kweli ni kichaa kwa evidence zilizotolewa. Na baba yake atakuwa chizi, uingize faida laki tano kwa siku( au kamaanisha mapato kabla ya kutoa matumizi na kodi) halafu ukaajiriwe kwa mshahara wa single digits millions or less kwa mwezi?!
Wakati unaingiza 15M kwa mwezi?
Halafu taasisi yenyewe hauipendi eti baba anataka heshimaz security n.k kweli?
Uanze kupangiwa kuripoti, pa kukaa n.k
Endelea kuota "captain"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…