Ushauri: Nifanyeje juu ya hali hii ya maisha yangu?

Asante kwa ushauri wako Bangida
 
Hakuna maisha rahisi Tanzania ndugu yangu kwa sasa,watu wanabebana

Nakushauri oa hiyo laki tatu inatosha

Chagua mwanamke mwenye kujua maisha mkapange uswekeni na yeye mpe nradi wa kupika vitumbua awe anauza nyumbani apo
Kidogo kidogo utaona
Nashukuru kwa ushauri wako uwe hodari ila naogopa Kuoa, watoto (Kama Mungu atajalia wakapatikana) wasije kuishi maisha magumu sana. Mimi mwenyewe naishi kwa shida sana na niko peke yangu, sasa nikioa mtoto wa watu mmmmmh na dada yupi huyo anayetaka shida ? ngoja tuu niwe mpole.
 
Asante kwa ushauri mzuri Troublemaker nitatekeleza.
 
Nashukuru kwa ushauri ndugu NetMaster.
 
Kuna watu mnapenda kuajiriwa miaka minne unapuyanga hapo, alaf bado unawaza urudi kusoma.
Ndio, kwa sababu ndio chaguo lililobaki maana kazi nyingine ninazoweza kuzifanya sijazipata ndugu.
 
Ungekuwa na plan ya kujiajiri ningekushauri uunde kikundi cha vijana katika halmashauri uliyopo kisha ukaombe mkopo (nadhani diriaha bado lipo wazi sasa) kisha ufanye mradi na ukuze mtaji wako.
Ni process ndefu ila it's worth it mkuu kuliko kukaa na kujaza akili yako na negative thoughts mwisho wa siku ujisuicide bure.
 
Huwa wanatoa kiasi gani kwa vijana hao watano kama wakifanikiwa kupata huo mkopo wao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…