Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
DuuAhaaah vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuAhaaah vizuri.
Ila kuna kula, kuna kodi, umeme, maji, hela ya ulinzi, nauli za kibaruani, kuna vocha n.k nipe mbinu sasa mkuu niweke akiba kivipi kwa hiyo laki tatu ili nitoke kimaisha.Yani kaka hauna mtegemezi, uko mwenyewe kabisa, alafu laki tatu haikutoshi hata ku-save? Jitathmini tena aisee. Seriously. Ukute unakaa kwenye nyumba ya kodi ya laki au zaidi au matumizi yako ni makubwa. Hiyo pesa inatosha kukutoa kabisa.