Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Halafu msifikiri kila mtu anamjua Mungu!Kuna mijitu dunia hii inatusua tu hawaamini ktk kitu kinaitwa Mungu!Ulimshirikisha MUNGU katika jitihada zako?
Katika ulimwengu wa roho kuna vitu ambavyo vinakufatilia kila ufanyacho ili viharibu,visipo chukuliwa hatua ya Maombi haviwezi kukuachia,so omba kabla hujaanza kufanya plani
Kuhusu business planning watakuja wengine kukushauri
UOVU au IBADAHalafu msifikiri kila mtu anamjua Mungu!Kuna mijitu dunia hii inatusua tu hawaamini ktk kitu kinaitwa Mungu!
Tatizo lako ni kukata tamaa mapema na kuogopa kushindwa..Hofu inakutawala zaidi hasa pale unapoona kuna dalili ya kushindwa.. Utajiri wote upo kichwani mwake ni wewe kuambua tu kujitoa mhanga..Unahitaji mentors wa kukuongozaNatamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri
kuomba ni vizur ila njia ya mafanikio nikuacha zambi na kuishi maisha ya tobaam very spritual mkuu. Namuomba Mungu sana
Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri
Wanaume mjiheshimu, utarudi kijijini bila kupendaNatamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri
Unashauriwa usianze kufanya biashara yoyote bila ya kuijua vizuri au kufanya utafiti, nakushauri nenda Chuo cha CBE au Chuo kikuu cha Dsm kitebgo cha Biashara watajua jinsi ya kukusaidia wanakozi zote kuanzia za watu waliomaliza la 7 hadi degree!Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani miss haweziNi huyu huyu Miss Natafuta au copy?
Siyo kawaida yake kuomba ushauri kwa mambo sensitive kama hayo[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani miss hawezi
Uko poa lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani miss hawezi
YeahhUko poa lakini
Teeeh sasa nani atanitafsiriaThree little birds
Kausilikize huo wimbo wa Bob Marley