Una ushaur mzur ntakufuata privateUlimshirikisha MUNGU katika jitihada zako?
Katika ulimwengu wa roho kuna vitu ambavyo vinakufatilia kila ufanyacho ili viharibu,visipo chukuliwa hatua ya Maombi haviwezi kukuachia,so omba kabla hujaanza kufanya plani
Kuhusu business planning watakuja wengine kukushauri
Usipoelewa niulize,ni mrahisi sanaTeeeh sasa nani atanitafsiria
UsiwazeUna ushaur mzur ntakufuata private
Ila usishangae na mm nkikuuliza vitu sensitive maan umenzoea kwenye mmu tu
Nmeuelewa aisee mzuri thank you!Usipoelewa niulize,ni mrahisi sana
Good morning innaNmeuelewa aisee mzuri thank you!
You made my morning
Uzuri wimbo wenyewe unaanza na rise up this morning so nime targetNmeuelewa aisee mzuri thank you!
You made my morning
nimeguswa kwa namna ambavyo umeelezea kuna kama kufanana na mapito yangu, nafikiri kona mahali unashindwa kuna roho chafu ndani yako. jambo kubwa sana na mhimu kwako unaroho wa kukataa tamaa hili jambo baya sana katika maisha yako. kabla ya kufanya lolote hebu jaribu kufanya utafiti juu ya biashara unayotaka kufanya, hebu watembelee watu ambao wanauzoefu na bishara unayotaka kufanya. ili ufanikiwe unahitaji kutiwa moyo sana hebu jaribu kuungana na mwezio ambaye mna mawazo yanayoendana mfungue bishara laikini kumbuka awe mkweli na mwaminifu vinginvyo mtaishia kugombana.Natamani sana kutoka kimaisha, niliplan kufungua biashara yangu flani hivi hadi kodi ya nyumba nikalipia ila nikakwama ikabidi ile frem niiuze ili nisipoteze hela zote bure, kuna biashara ingine nafuatilia nayo vikwazo vingi sifanikiwi.
Sina raha kabisa halafu hakuna mtu wa kutoa msaada labda wa kukuomba tu. Wenzangu mnafanyeje kufanikiwa. Sipendi dhuluma au biashara haramu. Najitahidi ila kila siku nipo pale pale.
Pia natafuta shamba la kukodi Dar at least nianze kulima na kufuga kuku huku biashara ikisubiri.
Naombeni ushauri
usichukulie jf kila kitu serias ni mtoto wa boss wangu tena nipo nae hapaHivi sio wewe ulisema huwa unaenda kulipia ada feza mtoto wa mchepuko wako?
Sasa kama huyu mke halali wa huyo unayemuita mchepuko wako anasikitika siajabu hata huduma nyumbani zimepungua kisa unahudumiwa wewe!
Sasa mafanikio yatatoka wapi?
Samahani lakini kama nitakuwa nimekukwaza au nimekufananisha sio wewe!
Ningekusaidia kupata mashamba Kilindi ukalima maharage maana mwezi huu wa 3 ndio mwezi wa kupanda hayo maharage na mwezi wa 6 mwishoni ni kuvuna, nimesikia mwaka huu hali ya mvua si mbaya huko inanyesha vzr, sisi (mimi na mume wangu) tulikua tunalima huko hekari 1 tulikua tunakodi kwa sh. 30,000 mpaka 40,000/= lakini Mwaka huu M/Mungu hajatujaalia kulima kutokana na ugonjwa wa mume wangu, jitahidi utafanikiwa mpenziwanaleta husda tena? kukodi sh ngapi heka mamy?
Ni kweli,usichukulie jf kila kitu serias ni mtoto wa boss wangu tena nipo nae hapa
pole dear atapona tuNingekusaidia kupata mashamba Kilindi ukalima maharage maana mwezi huu wa 3 ndio mwezi wa kupanda hayo maharage na mwezi wa 6 mwishoni ni kuvuna, nimesikia mwaka huu hali ya mvua si mbaya huko inanyesha vzr, sisi (mimi na mume wangu) tulikua tunalima huko hekari 1 tulikua tunakodi kwa sh. 30,000 mpaka 40,000/= lakini Mwaka huu M/Mungu hajatujaalia kulima kutokana na ugonjwa wa mume wangu, jitahidi utafanikiwa mpenzi
Morng Antonio de GuzmanGood morning inna
Wknd yako iko vp my friendMorng Antonio de Guzman
Iko poa kabsaWknd yako iko vp my friend
Unahisi wamehack account yake? Mpe msaada wa mawazo banaaaNi huyu huyu Miss Natafuta au copy?
Nimeshampa aiseeUnahisi wamehack account yake? Mpe msaada wa mawazo banaaa