Ushauri: Nimekuta 'urine pregnancy test' kwenye kimkoba cha binti yangu

Shukrani sana mkuu kwa elimu uliyonipa.Nitaufanyia kazi ushauri wako.
Again thank you sana sana


Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
 
Wakuu wa JF.
Nawashukuru sana sana kwa ushauri wenu mzuri,wengi sana mlionesha kuguswa na tukio lililofanywa na bint yangu kiasi ambacho nadhani mlihisi kama bint yenu.nawashukuru sana sana ijapokuwa wachache walinidhihaki na kunifanyia masihara.labda hawajakuwa wazazi bado lakini watakapokuwa wazazi wataelewa.
Nitaleta mrejesho baadae kidogo hatua niliyofikia na bint yangu kutokana na ushauri.nitaleta huu mrejesho ili wale ambao ni wazazi kama mimi waone ni changamoto gani zipo kwenye malezi ya watoto hasa wa kike.
Lakini nina ushauri kidogo kwa wale ambao wako ndani ya NDOA na wana watoto.
Fanya kila linalowezekana kuilea,kudumisha na kuienzi ndoa yenu.kuna athari kubwa sana sana kwa malezi ya watoto kama mtakubali kuvunja ndoa yenu.inawezekana kukawa na kero na karaha tupu ktk ndoa yenu lakini ni bora'funika kombe mwanaharamu apite' ili muweze kulea watoto wenu kwa ushirikiano wa baba na mama ,kwa mahaba na mapenzi makubwa juu ya watoto wenu.
ASANTENI SANA


NITALETA MREJESHO BAADAE KIDOGO


Najisikia fahari kuwa MTANZANIA
 
Na kama imeshindikana wao kuishi wawili kama mke na mume, amruhusu mama kuwa karibu na watoto wake wote wawili. Lazima kuwe na maamuzi ya hekima; unless aseme huyo mwanamke hafai kuwa mke na hata mama kwa watoto wake
vizuri sana
wenngi tumekuwa wabinafsi na tunafikiri kuwa ndoa ni ya watu wawili kumbe sio.
tendo la ndoa ndio la watu wawili lakini kuna watu wengi wenye maslahi mapana yandoazetu ikiwemo matokeo ya tendo la ndoa yaani mimba na watoto.
kwa kifupi ndoa ni taasisi. hivyo tuangalie madhara yakuachana kwa wengine tusiwe wabinafsi rudisha mke unaweza vunja uhusiano wa tendo la ndoa.
amua kiume
 
Mkuu kwanza pole sana kwa ulezi. Mtoto bila wazazi /familia iliyo tulia ni kazi sana kuwalea katika maadili. Vinginevyo Kudra za Mwenyezi Mungu zinahitajika. Numbisa Kasha maliza Mwite mama yao attete nae maana hapo kama una hasira unaweza anda jera sasa hivi.

Mwisho Hakikisha unamzawadia mvua 30 huyo anaye mrubuni. Hakikisha binti anamtaja na mnamuweka mtegoni umnase kama kunguru mwizi.

Baba mwenye nyumba kashakataza wazazi kurudi shule anataka kuharibu future ya binti yako.
 

Hongera kwa mjukuu [emoji23]
 
washatoa bikira tayar

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Kwanza +ve?

Sent from my SM-G903F using JamiiForums mobile app
 
Atakuwa alitumwa na mwalimu wa biology kwa practical

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
yani kwa kifupi huyo ameshakuwa ni muhenga kwenye sita kwa sita,ata ukute anajua kila aina ya vodonge,mbinu na doctor mzuri wakukurupusha mimba ingawa ni 14 pole sana ndugu kwani hajawai kukuomba kiasi kikubwa cha hela?

lazima tulipe kodi
 
Miaka 14 kiruu mi nlikua cjui ata kitu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hapo hakuna namna mkuu ww sasa jaribu kumwambia aanze kutumia kondom tu wakati wa kuchakachuana kwa kuwa kashaonja tunda kumzuia tena ni atakudanganya tu we kaa naye chini mhusie kuhusu ngono zembe madhara yake na mimba za utotoni ila mwambie akiwa katika 6*6 na mupinziwe atumie ndom tu hakuna namna nyingine
 
Nimesikitika sana, ni hatari!
Muite umuulize mwenyewe kwamba hicho ni cha nini na umueleze hatari inayomkabili.
 
Kupekua ndio kumemsaidia kujua, kupekua mabegi ya watoto ni muhimu kuliko unavyofikiri. Yeye ndie baba yake ulitakiwa apekuliwe na nani wakati hakai na mama yake? kwani baba hajui kwamba bintiye huwa na mp?
 
Unakosea sana, baba lazima uonyeshe ubaba kama kweli umechukizwa. Unajuaje kama huyo mama yake atapamba naye ipasavyo na je kama wanaongea lugha moja!?
 
Haya ndiyo madhara ya wazazi kuachana. Watoto wanalelewa kwa changamoto na mbaya zaidi ni pale katikati ya baba kuwa kule na mama kuwa kule. Ongeza na gap ya Shule na nyumbani. Wazazi tujifunze kuvumiliana ikishindikana kabisa basi Watoto wakae kwa mzazi mmoja mwenye uwezo wa kuwalea na Mzazi mwingine awe free kuwatembelea Watoto. Ukweli talaka na kutengana ni majonzi kwa Watoto. Tutafakari hili.
 
Kupekua ndio kumemsaidia kujua, kupekua mabegi ya watoto ni muhimu kuliko unavyofikiri. Yeye ndie baba yake ulitakiwa apekuliwe na nani wakati hakai na mama yake? kwani baba hajui kwamba bintiye huwa na mp?
Mkuu....
Nami pia ni mzazi, na nimekua na binti mwenye umri kama huo pamoja na kupitia hatua hizo.
Wababa hatupaswi kufanya hicho alicho kifanya mleta Uzi.
Kuna umri ambao binti akifikia lazima baba utazame njia m-badala ya mumsaidia, ikiwa baba unaishi bila mke.
Bado nasisitiza kwamba baba hakufanya sahihi kumpekua binti yake.
 
Afu hizi smart phones mnawapa watoto ni balaa, mtoto anamaliza form 4 unampa smart phone anakutana na STUNTER kadhaa wa kitaa utafurahi na roho yako, mtoto anatumiwa picha mtu anayonywa k, afu yuko kwenye balehe utafurahi na roho yako
Ni hatari kwa kweli!
 
UNasisitiza alifanya vema sana na imemsaidia kujua kwamba kuna adui anatakiwa apambane Naye kabla hajammaliza yeye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…