T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kati ya mawazo yote matatu hamna wazo bora, yote yatakusumbua ukizingatia mtaji wako ulivyo, aina za biashara na eneo lenyewe ni Geita. Tafuta mawazo mengine achana na haya kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hujasanuka bado sheikh.Hizi mambo zinapigwa kitambo sana.Biashara za wahindi hizi kitambo sana.Ttz la wazo lako lipo zaidi ya miaka 20 mbele kwa hapa bongo �
Njombe sehemu gani?Mbona huku Njombe na Makambako tunauziwa 1,900/= hadi 2,000/= kifaranga kimoja.... Imekaaje hii?
Basi kama una exprience yoyote ya ushonaji nunua mashine mbili za ushonaji chukua flame ya biashara nunua vitenge na vitambaa tafta leseni ya biashara. Baada ya hapo nenda halmashauri kaombe fedha ya vijana na wanawake pale halmashauri ya mji utajisajiri kwenye mfumo wao muhimu uwe pia na akaunti benki mambo mengine yatafata mwezi wakumi na mbili utakuwa na mtaji mzuri wakuendeleza ulipoa anzia hikiwa ni pamoja na kupanua mtaji.Soma kwa makini hadi mwisho mambo kujenga hayo ni mawazo ambayo nayafakiria maybe for 6 years to come but kwa now kama nilivosema mwishoni nataka kufanya kibiashara kidogo kidogo cha kunikwamua kimaisha ili nisiwe tegemezi Tena home
Njombe mjiniNjombe sehemu gani?
Kama kilimo cha matikiti tu😃😃Dah we jamaa hili wazo lako mbona la kimkakati sana hahahahah!
Nashukuru nitafanya research kwenye vitafunwaBasi kama una exprience yoyote ya ushonaji nunua mashine mbili za ushonaji chukua flame ya biashara nunua vitenge na vitambaa tafta leseni ya biashara. Baada ya hapo nenda halmashauri kaombe fedha ya vijana na wanawake pale halmashauri ya mji utajisajiri kwenye mfumo wao muhimu uwe pia na akaunti benki mambo mengine yatafata mwezi wakumi na mbili utakuwa na mtaji mzuri wakuendeleza ulipoa anzia hikiwa ni pamoja na kupanua mtaji.
Ukiona hyo biashara uwezi kama kwenu mna eneo la kutosha nunua ngano mafuta sukari mafuta masufuria na vitu vingine vinavyo itajika kufungua kakiwanda kadogo kakuzugia kutengeneza mandazi yale makubwa ya miatatu na miambili. Tengeneza pack kwenye mifuko wape boda boda wawili wawe wanakusambazia. By the way nipo geita tunaweza kuongea zaidi tukionana ukikwama.
Ndo utoe mawazo mkuuKati ya mawazo yote matatu hamna wazo bora, yote yatakusumbua ukizingatia mtaji wako ulivyo, aina za biashara na eneo lenyewe ni Geita. Tafuta mawazo mengine achana na haya kabisa
Sijui imekaaje nachojua 2000 ni broiler sio sassoMbona huku Njombe na Makambako tunauziwa 1,900/= hadi 2,000/= kifaranga kimoja.... Imekaaje hii?
Middlemen Profit multiplier.....Sijui imekaaje nachojua 2000 ni broiler sio sasso
Ni naweza kuhifadhi kwa vile lengo langu tu ni kujitegemea kwa kipato atleast nikifika 25 years niwe tayari naweza kushika hela ya mwnyw Bila kuomba kwa mtegemezi unaelewa baadhi yetu sisi tulikwenda Chuo wala tukakomaa na kusoma tu Bila kufanya chochote ndo tunashtuka dakika za mwishoniNakushauri utafute mtu mzoefu kwenye biashara ambayo unaiweza ungana nae hasa kama una ndugu au rafiki wa karibu piga nae kazi upate uzoefu ukishakuwa konki utajitegemea
Nina shuhuda nyingi za watu niliomaliza nao chuo wakaweka pesa kuja kuingia kwenye game zikakata na wasiweze kurudi tena au kukaza sometimes biashara bila kushikwa mkono kutoboa ni kazi sana
NB usiwekeze hela yote labda kama unahofu huwezi kuitunza kinamna yoyote ile
Basi ikiwezekana fanya ivo, chukua nusu ya hiyo pesa muombe ndugu yako au rafiki ako akushike mkono kwenye biashara anayoifanya(iwe unaipenda) hadi pale utakapojua chungu tamu za hiyo biashara ndio uweze kujitegemeaNi naweza kuhifadhi kwa vile lengo langu tu ni kujitegemea kwa kipato atleast nikifika 25 years niwe tayari naweza kushika hela ya mwnyw Bila kuomba kwa mtegemezi unaelewa baadhi yetu sisi tulikwenda Chuo wala tukakomaa na kusoma tu Bila kufanya chochote ndo tunashtuka dakika za mwishoni
Chukua 1m betia mechi moja ya uhakika huku 1m ikiwa hakibaWakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa na wazazi mmoja akafariki
Natamani kufanya biashara
Nimesoma Degree ya business administration. So nauliza kati ya
Biashara hizi tatu ipi inaweza kunifanya niache utegemezi kwa mtaji wa 2M
- Biashara ya vinywaji soft drinks na maji jumla jumla ambapo leseni yake halmshauri kwa Mwaka ni 200,000,TRA makadirio ni 50k four installment for whole year
- Biashara ya mchele jumla jumla as a supplier kwenye na mashule also reja reja kwa bei ya 1800,1400,1200
- Sare za shule masweta, sketi na kaptura na ni kwasababu frame ipo maeneo mkabala na shule mbili za msingi also shule ya secondary behind the frame! Wenye uzoefu nifanye ip??
Nitayafanyia kaziBasi ikiwezekana fanya ivo, chukua nusu ya hiyo pesa muombe ndugu yako au rafiki ako akushike mkono kwenye biashara anayoifanya(iwe unaipenda) hadi pale utakapojua chungu tamu za hiyo biashara ndio uweze kujitegemea
Hapa simaanishi lazima muwe mutual bali hata kwa kukupa muongozo na trips mbalimbali za biashara husika
asikudanganye mtu hiyo 2m nenda pale kitambaa cheupe utakutana na watu wenye madili ya maana ukikosa pale nenda sehemu yoyote ya starehe ila iwe kubwa hapo hutakosa mishe au mawazo ya kuja kuwa tajiriiiiiii....Wakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa na wazazi mmoja akafariki
Natamani kufanya biashara
Nimesoma Degree ya business administration. So nauliza kati ya
Biashara hizi tatu ipi inaweza kunifanya niache utegemezi kwa mtaji wa 2M
- Biashara ya vinywaji soft drinks na maji jumla jumla ambapo leseni yake halmshauri kwa Mwaka ni 200,000,TRA makadirio ni 50k four installment for whole year
- Biashara ya mchele jumla jumla as a supplier kwenye na mashule also reja reja kwa bei ya 1800,1400,1200
- Sare za shule masweta, sketi na kaptura na ni kwasababu frame ipo maeneo mkabala na shule mbili za msingi also shule ya secondary behind the frame! Wenye uzoefu nifanye ip??
Saso aseee wapo vizuri sana namayai yai uwa makubwaKama una una eneo la kutosha chukua m1 Fuga kuku chotara aina ya sasso.
Anza na vifaranga 200 ambapo Kila kifaranga huuzwa 1600 kutoka silver land wapo iringa (nitakuunganisha na wakala wao hapo geita anaitwa mawazo)
Utanunua mifuko ya chakula 3 Kwa mwezi wa kwanza
Mwezi wa2 mifuko4-6 kama huwapi na vyakula vingine
Mwezi wa3-4 Anza kutengeneza mwenyew chakula(Nipo tyr kukupa formula Bure na kuja Kwa gharama zangu hapo geita kushare naww experience yangu)
Baada ya mwezi huo uza soko lipo Nje Nje na Mimi wateja wangu wapi geita hapohapo na Mimi nipo geita hata kahama Huwa nauza.
Kwanini kuku aina ya sasso?
Nimewafugakwa muda Sasa nimeona tija Yao huu ni mwaka 4 nafuga. Kwanza niwavumilivu sana Kwa magonjwa nakiri kuwa hawatofautiani na kuku wa kienyeji kwani ukiamua uwafuge kienyeji unawafuga tu bila shida yoyote
Wanakua haraka sana yaani Kwa miezi hiyo4 kuku Tyr kafikia kuuzwa Kwa Tsh17-19k bei ya Jumla!!
Kwa sababu wewe ni wageita hapohapo nakushauri uza mwenyewe rejareja
Wengi wa watu hawawaju kama ni chotara hasa ukiwafuga kienyeji zaidi kama nifugavyo Mimi kwani mafuta Huwa ni kiasi kidogo sana.
Ukiwafuga kisasa tegemea soko kuwa chini na gharama zitakuwa juu zaidi maana watu hawapendi kuku wenye mafuta mengi na nyama laini.
Hawa kuku pia ukiwaacha wafikie miezi5-6 huanza kutaga Kwa speed sana hivyo ni juu Yako Sasa uache uuze mayai ama uuze kuku yote heri ni vile utakavyo wewe.
Ni mengi lkn naweza tiririka hapa kumbe wazo lako ni biashara za kukaa kwenye kiyoyozi hata kama faidi 120,000/= Kwa mwezi hujari kikubwa kiyoyozi na upo ofisini. Ahsantee
Kwenda Tena? kitambaa😂Sina insurance ya Kure cover mtajiasikudanganye mtu hiyo 2m nenda pale kitambaa cheupe utakutana na watu wenye madili ya maana ukikosa pale nenda sehemu yoyote ya starehe ila iwe kubwa hapo hutakosa mishe au mawazo ya kuja kuwa tajiriiiiiii....
ukikosa kabisa hiyo 2m kasaidie yatima Mungu atakubariki 🤣🤣🤣