USHAURI: Nimemkamata mtoto wa miaka 11 anajichua bafuni akiwa anajiandaa kwenda shule

Mwanaume YEYOTE ambaye hajawahi kujichua huwa na hatihati ya kumaliza mwendo njiani

Kijana anajiamini huyo. Mtafute funzadume amuunganishe na chama lao la CHAPUTA😀
 
Ukitaka kuchochea moto ni wewe mwenyewe, napia ukitaka kuuzima moto ni wewe pia, sasa katia ya hizi njia mbili chagua ni ipi sahihi yeye matokeao chanya makubwa maana njia zoote zina positive side na negative side but it's depending on you....
 
Huna rafiki au jamaa yoyote daktari au mtaalam ambaye anaweza kutunza siri umpeleke mzungumze na dogo?!... Namaanisha (mwanasaikolojia, mtaalam na mbombezi)

Kupiga mtoto sio suluhu, ni upuuzi na ufinyu wa fikra... watumiaji wa maamuzi ya kupiga ni watu ambao uwezo wao wa kufikiri huishia hapo. Yeye anaona suluhu ni kupiga. Kuna makosa huonywa kwa kupigwa ila hilo HAPANA. mazungumzo ya kina inabidi yafanyike tena kwa siri.


Mtoto aeleweshwe tu madhara ya punyeto baadae. Na hiyo inaonesha wazi mtoto amekua sasa! Mshkuru mungu hajawa shoga. Na uanze kumuweka mambo wazi kwamba dunia imeharibika. Ni vyema ukamuelekeza/ukamfundisha ngono salama na asiwe muoga kwa wanawake.

Pia asijisahau kwenye majukumu yake kama mtoto wa kiume/kijana wa kiume... Namaanisha shule na shughuli ndogondogo ambazo zitamjenga kama mwanaume au BABA wa kesho.


USIMPIGE MTOTO! USIMPIGE MTOTO! USIMPIGE MTOTO!
 
Nyeto mara nyingi inakuwa baada ya mtu kuangalia porn, je huyo mtoto ana access ya kuangalia porn, ukiweza ku control accessibility yake kuangalia porn, umeondoa tatizo kwa sasa.

Kumpunguzia access sio lazima kumkataza kutumia simu/ laptop nk, weka parental controls kwa kila electronic device atakayotumia.
 
Hizo zote ni vurugu za aibu mnataka kumletea mtoto

Huyo ni kwamba ameshabalehe
Apewe elimu ya afya ya uzazi na mumfundishe kuiheshimu kama kutojihusisha na zinaa basi
 
Inaumiza sana hii Uncle bright . Nimekutana na familia zaidi ya 10 kwa mwaka huu mpya tuu zenye tatizo hili 4 ikiwa ni watoto wa kike below 14 years namshukuru Mungu nimeweza kutoa ushauri na kuwasaidia watoto wao.

Mpeleke mtoto kwa msaikojia-mshauri, akiwa daktari haswa daktari wa watoto au mwalimu au msaikolojia wa ukuaji na makuzi ya mtoto atamsaidia sana.
Pia mpleleke kwa miezi wa imani yenu awe shehe, padre au Mchungaji ataongea nae katika angle nyingine ya kiroho itakayomsaidia sana.

Ukichelewa hapa unawezakuja kushangaa ameanza kufanyiwa na kufanyia wenzake

Mungu tusaidie
 
Kama anapigaa nyeto bila kuangalia picha za ngono huyo unaweza mshauri akaacha maana vichocheo mpaka atumie nguvu sana kuvuta hisiaa... so kama ana access ya ponoo mfanyee asizipate lakini pia kaa nae mshaurii kwa kumpa maneno ya kibiblia na mwambie juu ya madhara ya kupiga nyeto...

Anyway amewahi sana kuanzaa huyo dogoo hadi afike utu uzimaa mashine itakuwa ishasinyaaaa.

Pole sana maana kuacha nyeto sio kitoto
 
Huyo muonye sana unajua japo wengi wetu tumepiga nyeto ila haikuwa kiivo na style kama huyo dogo huyo kajifunzia kwenye sim au tv kunyetuka kitu ambacho ni hatari zaidi mkanye maana yupo kwenye form ya kuiga mavitu ya ovyo akiendelea lazma aliwe kinyeo na masela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…