Ushauri: Nimeokota wallet yenye Tsh. 50,000 pamoja na risiti za miamala ya pesa nyingi nahofia kurudisha nahisi naweza bambikiwa kesi

Daah kweli
Duh hilo sijalifikiria basi atoe sadaka hiyo pesa awape watoto yatima yaishe. Bora asiile tu.
Dunia imefika pabaya kiasi kwamba mwenye nia njema ya kusaidia ndio atageuka mhalifu. Mwenyezi Mungu aturehemu
 
Fikiria hili tukio. " Police mmoja, trafiki, na mbwembwe zake alikamata gari ya jamaa. Jamaa akashuka na police akapanda ile gari na kuipeleka central police. Jamaa palepele akaingia benki kwenye account yake akachomoa 10M akaweka anapojua. Akafuata gari yake fasta police. Alipokabidhiwa gari akadai haoni mzigo wake katika bahasha aliyoiacha ndani ya gari, 10m. Kufupisha maelezo, kusovu tatizo wakataka ushahidi benk; ikaonekana mda uleule jamaa alikuwa ame-withdraw kiasi hicho cha fedha. Bila ubishi police aliingia hatiani akalipa ile fedha".
Ishauri sasa, weka chini hiyo wallet, sepa.
 
Kama ni muungwana na huna hatia mtafute muhusika. Kwa miamala hiyo hutakosa bakshishi kutoka kwa mwenyewe.
 
Fikiria hili tukio. " Police mmoja, trafiki, na mbwembwe zake alikamata gari ya jamaa. Jamaa akashuka na police akapanda ile gari na kuipeleka central police. Jamaa palepele akaingia benki kwenye account yake akachomoa 10M akaweka anapojua. Akafuata gari yake fasta police. Alipokabidhiwa gari akadai haoni mzigo wake katika bahasha aliyoiacha ndani ya gari, 10m. Kufupisha maelezo, kusovu tatizo wakataka ushahidi benk; ikaonekana mda uleule jamaa alikuwa ame-withdraw kiasi hicho cha fedha. Bila ubishi police aliingia hatiani akalipa ile fedha".
Ishauri sasa, weka chini hiyo wallet, sepa.
Nashukuru sana kaka
 
Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m. Tarehe ni siku niliookota, ndani kuna pia kitambulisho cha bima, nk.

Nahofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake!

Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo.

Naombeni ushauri.
Jamaa kauawa(mmiliki wa hivyo ulivyoviokota) na hivyo vimetupwa ili atakayakutwa navyo ndiyo apachikwe hiyo kesi ya mauaji, it's called smokescreen.
Kunakuwa na motives or some sort of circumstances wahusika wanaamini they'll be prime suspects hivyo wanatengeneza namna ya kumlengesha fala wa kuibeba hiyo kasongo, chukua hiyo fifty grand hizo exhibits nyingine tupa mbali sana na asione mtu kuwa ni wewe ndiyo umetupa otherwise you might end up being charged for something you know nothing about au ukiweza choma moto ili kuokoa mtu mwingine asiingie kwenye kasongo isiyomuhusu.
 
Kunakuwa na motives or some sort of circumstances wahusika wanaamini they'll be prime suspects hivyo wanatengeneza namna ya kumlengesha fala wa kuibeba hiyo kasongo, chukua hiyo fifty grand hixo exhibits nyingine tupa mbali sana na asione mtu kuwa ni wewe ndiyo umetupa you might end up being charged for something you know nothing about au ukiweza choma moto kuokoa mtu mwingine asiingie kwenye kasongo isiyomuhusu.
Thank so much brother respect
 
Shida unaweza ukawa mwema kuripoti police ukadakwa wwe kesi ikabakia kwako.
Jamaa yangu juzi kaokota simu ya million moja mwenye simu akampigia kapokea akampa maelekezo alipo mwenye simu alipofika kesho yake kuchukua simu yke hata kusema neno Asante au kumuachia jamaa hata teni kapiga kimya.
Kuna watu wabad eeh
 
Jamaa kauawa(mmiliki wa hivyo ulivyoviokota) na hivyo vimetupwa ili atakayakutwa navyo ndiyo apachikwe hiyo kesi ya mauaji, it's called smokescreen.
Kunakuwa na motives or some sort of circumstances wahusika wanaamini they'll be prime suspects hivyo wanatengeneza namna ya kumlengesha fala wa kuibeba hiyo kasongo, chukua hiyo fifty grand hizo exhibits nyingine tupa mbali sana na asione mtu kuwa ni wewe ndiyo umetupa otherwise you might end up being charged for something you know nothing about au ukiweza choma moto ili kuokoa mtu mwingine asiingie kwenye kasongo isiyomuhusu.
Nakubali
 
Kama hiyo risiti ina namba ya simu mpigie. Mweleze kwamba umeikota hiyo pochi. Akisema ni kweli kapoteza basi mwelekeze aje kuchukua
Uungwana ni vitendao
Asijaribu ye atoe hiyo Hela li pochi ampe boda muhuni akalitupe karibu na kituo Cha polisi imeisha hiyo
 
Fikiria hili tukio. " Police mmoja, trafiki, na mbwembwe zake alikamata gari ya jamaa. Jamaa akashuka na police akapanda ile gari na kuipeleka central police. Jamaa palepele akaingia benki kwenye account yake akachomoa 10M akaweka anapojua. Akafuata gari yake fasta police. Alipokabidhiwa gari akadai haoni mzigo wake katika bahasha aliyoiacha ndani ya gari, 10m. Kufupisha maelezo, kusovu tatizo wakataka ushahidi benk; ikaonekana mda uleule jamaa alikuwa ame-withdraw kiasi hicho cha fedha. Bila ubishi police aliingia hatiani akalipa ile fedha".
Ishauri sasa, weka chini hiyo wallet, sepa.
Na Mimi nimeshamwambia asijaribu kumpigia wala kuipeleka police, ye atoe hiyo Hela wallet tupa huko ila aangalie aonekani na mtu anapoitupa.
 
Sawa nashukuru sana baba ushauri mzuri sana
 
Shida sio kusoma, shida ni kuelewa, huenda kasoma ila hajaelewa.
Hamna mshikaji yupo sahihi kabisa kulingana na maelezo ya mtoa mada.

Mtoa mada anasema anaogopa kwenda kuripot polis eti kwasababu mwenye wallet anaweza kusema palikuwa na pesa nyingi humo kwenye wallet kutokana zile risit zinazononesha transactions za milioni 45 na million 10.

Sasa jamaa ndio kamjibu hiyo itakuwa wallet ya ainagani iwe na kiasi chote hicho Cha fedha,mwishonI kamshauri kama ni msamalia mwema aende tu polisi akaripoti maana ni ngumu hiyo miela kuwa kwenye wallet🤓

WATU MNAMKOSOA JAMAA KWA COMMENT YAKE KUWA HAJASOMA KWA UFAHAMU ILA SIO KWELI JAMAA YUPO SAHIHI,SASA SIJUI NANYIE HAMJASOMA KWA UFAHAMU COMMENT YAKE AU NA MIMI NIMEINGIA CHAKA😂
 
Back
Top Bottom