Duh hilo sijalifikiria basi atoe sadaka hiyo pesa awape watoto yatima yaishe. Bora asiile tu.Daah kweli
Dunia imefika pabaya kiasi kwamba mwenye nia njema ya kusaidia ndio atageuka mhalifu. Mwenyezi Mungu aturehemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hilo sijalifikiria basi atoe sadaka hiyo pesa awape watoto yatima yaishe. Bora asiile tu.Daah kweli
Nashukuru sana kakaFikiria hili tukio. " Police mmoja, trafiki, na mbwembwe zake alikamata gari ya jamaa. Jamaa akashuka na police akapanda ile gari na kuipeleka central police. Jamaa palepele akaingia benki kwenye account yake akachomoa 10M akaweka anapojua. Akafuata gari yake fasta police. Alipokabidhiwa gari akadai haoni mzigo wake katika bahasha aliyoiacha ndani ya gari, 10m. Kufupisha maelezo, kusovu tatizo wakataka ushahidi benk; ikaonekana mda uleule jamaa alikuwa ame-withdraw kiasi hicho cha fedha. Bila ubishi police aliingia hatiani akalipa ile fedha".
Ishauri sasa, weka chini hiyo wallet, sepa.
Nadhani wewe ni Mkushi, kwa kutumia neno Universe. Hotep! Hotep!Universe imekupa hela ya chai na wewe unataka kurudisha? Haya.
Una huakika umesoma alichoandika kweli?
Jamaa kauawa(mmiliki wa hivyo ulivyoviokota) na hivyo vimetupwa ili atakayakutwa navyo ndiyo apachikwe hiyo kesi ya mauaji, it's called smokescreen.Nimeokota wallet ina pesa kiasi cha elf 50,000 ila ina risiti ya miamala ya Milioni 45 pamoja na Milioni 10m. Tarehe ni siku niliookota, ndani kuna pia kitambulisho cha bima, nk.
Nahofia kurudisha anaweza kunibambikia kesi ya kupoteza pesa zake!
Nahisi anaweza kusema wallet ilikuwa na pesa hizo.
Naombeni ushauri.
Thank so much brother respectJamaa kauawa(mmiliki wa hivyo ulivyoviokota) na hivyo vimetupwa ili atakayakutwa navyo ndiyo apachikwe hiyo kesi ya mauaji, it's called smokescreen.
Kunakuwa na motives or some sort of circumstances wahusika wanaamini they'll be prime suspects hivyo wanatengeneza namna ya kumlengesha fala wa kuibeba hiyo kasongo, chukua hiyo fifty grand hixo exhibits nyingine tupa mbali sana na asione mtu kuwa ni wewe ndiyo umetupa you might end up being charged for something you know nothing about au ukiweza choma moto kuokoa mtu mwingine asiingie kwenye kasongo isiyomuhusu.
Kuna watu wabad eehShida unaweza ukawa mwema kuripoti police ukadakwa wwe kesi ikabakia kwako.
Jamaa yangu juzi kaokota simu ya million moja mwenye simu akampigia kapokea akampa maelekezo alipo mwenye simu alipofika kesho yake kuchukua simu yke hata kusema neno Asante au kumuachia jamaa hata teni kapiga kimya.
NakubaliJamaa kauawa(mmiliki wa hivyo ulivyoviokota) na hivyo vimetupwa ili atakayakutwa navyo ndiyo apachikwe hiyo kesi ya mauaji, it's called smokescreen.
Kunakuwa na motives or some sort of circumstances wahusika wanaamini they'll be prime suspects hivyo wanatengeneza namna ya kumlengesha fala wa kuibeba hiyo kasongo, chukua hiyo fifty grand hizo exhibits nyingine tupa mbali sana na asione mtu kuwa ni wewe ndiyo umetupa otherwise you might end up being charged for something you know nothing about au ukiweza choma moto ili kuokoa mtu mwingine asiingie kwenye kasongo isiyomuhusu.
Shule za kataTumefikaje hapa!
Elimu yetu ni majanga sanakichwa cha habari kimeeleza vema, maelezo pia yameeleza vema lakini watu kama nyie mmeshindwa kuelewa, somo la ufahamu lizingatiwe sana.
Duh! Hivi unaanzaje!!!Universe imekupa hela ya chai na wewe unataka kurudisha? Haya.
Asijaribu ye atoe hiyo Hela li pochi ampe boda muhuni akalitupe karibu na kituo Cha polisi imeisha hiyoKama hiyo risiti ina namba ya simu mpigie. Mweleze kwamba umeikota hiyo pochi. Akisema ni kweli kapoteza basi mwelekeze aje kuchukua
Uungwana ni vitendao
Na Mimi nimeshamwambia asijaribu kumpigia wala kuipeleka police, ye atoe hiyo Hela wallet tupa huko ila aangalie aonekani na mtu anapoitupa.Fikiria hili tukio. " Police mmoja, trafiki, na mbwembwe zake alikamata gari ya jamaa. Jamaa akashuka na police akapanda ile gari na kuipeleka central police. Jamaa palepele akaingia benki kwenye account yake akachomoa 10M akaweka anapojua. Akafuata gari yake fasta police. Alipokabidhiwa gari akadai haoni mzigo wake katika bahasha aliyoiacha ndani ya gari, 10m. Kufupisha maelezo, kusovu tatizo wakataka ushahidi benk; ikaonekana mda uleule jamaa alikuwa ame-withdraw kiasi hicho cha fedha. Bila ubishi police aliingia hatiani akalipa ile fedha".
Ishauri sasa, weka chini hiyo wallet, sepa.
Sawa nashukuru sana baba ushauri mzuri sanaNa Mimi nimeshamwambia asijaribu kumpigia wala kuipeleka police, ye atoe hiyo Hela wallet tupa huko ila aangalie aonekani na mtu anapoitupa.
Hamna mshikaji yupo sahihi kabisa kulingana na maelezo ya mtoa mada.Shida sio kusoma, shida ni kuelewa, huenda kasoma ila hajaelewa.
Hatokuja bahatika Tena,katuUniverse imekupa hela ya chai na wewe unataka kurudisha? Haya.