Ushauri: Nimeomba kazi Polisi pamoja na Kampuni binafsi. Kwa wenye uzoefu, ni wapi niende?

Ushauri: Nimeomba kazi Polisi pamoja na Kampuni binafsi. Kwa wenye uzoefu, ni wapi niende?

Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
Mkuu huko polisi ushakuwa na uhakika wa kutoboa ama nini..[emoji16] Anywah nenda private company maana huku polisi kuna mambo ya interview, vipimo vya afya na mwisho kuna mafunzo ambayo huwezi jua kama utafanikiwa maliza salama au vipi.. ushauri tuu
 
Duu kweli the future generations isn't in safe hands
 
Kwanza nicheke🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu ata maombi ayajapokelewa wewe waomba ushauri wa wapi uendeee duh connection Yako nzuri Sana hiyo tugawie na sie huo ufalme
Polisi sidhani km hatabaki MTU safari hii maana wanahitajika wengi
 
Back
Top Bottom