Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

Njoo pm nikusaidie, aisee bahati gani mungu wangu, watu tunalalamikiwa tumezidi kupiga show halafu kuna watu wanapata shida kiasi hiki aroo!!!
 
Hapo inawezekana kuna tatizo la kisaikolojia zaidi.

Inawezekana una compensante. Labda utueleze, utotoni ulikosa kitu gani? Ulipata mapenzi ya wazazi? Kuna ndugu zako mlikuwa mnashindana? Uliishi na baba na mama? Ulikuwa ma kitu gani ulichokosa utotoni?

Au una viasilia vinavyokufanya uwe hypersexual? Unatumia vyakula gani? Vilevi gani? Mazingira unayokuwa muda mwingi yakoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…