jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Coment za watu badala ya kukusaidia wanaweza kusababishia mauaji ya kimbali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa afunge safar ya siri hadi hapo chuo afuatilie nyendo za huyo mchumba ila ajiandae kwa lolote na ajiandae asijevunja sheria. Binafsi nilifanya ujinga kama huu na nilienda mbali zaidi nilibeba majukum ya wazazi kwa kumsomesha na kulipa kila kitu hadi kusuka nywele,mavazi nk. Siku anapata kazi nikamnunulia kila kitu cha kuanzia kwenye ajira yake mpya tv,redio,godoro nk na kodi ya miezi 6 juu. Ilikuwa mwezi wa 7 naenda kumtembelea kazini kwake huko mwanza mwezi wa 12 nakuta anamimba ya mkuu wake wa idara.[emoji848]
….usifikirie vtu ambavyo vitakuumiza mkuu…
kuwa positive,maisha mafupi sana…..enjoy,hakuna mkamilifu ila Muumba wako tu.
Mwisho: Simama kama mwanaume rijali.
Anajua ndiyo na yeye ndo kaniruhusu niende
Hahaha!!Coment za watu badala ya kukusaidia wanaweza kusababishia mauaji ya kimbali
Aisee pole Sana mkuu. Unakutana Ana mimba. Mie nadai fidia za pesa, emotions,muda and energy ya kumuwazia akikataa ndio atajua tu wanyama sema tunaongea ndio tofauti yetuKikubwa afunge safar ya siri hadi hapo chuo afuatilie nyendo za huyo mchumba ila ajiandae kwa lolote na ajiandae asijevunja sheria. Binafsi nilifanya ujinga kama huu na nilienda mbali zaidi nilibeba majukum ya wazazi kwa kumsomesha na kulipa kila kitu hadi kusuka nywele,mavazi nk. Siku anapata kazi nikamnunulia kila kitu cha kuanzia kwenye ajira yake mpya tv,redio,godoro nk na kodi ya miezi 6 juu. Ilikuwa mwezi wa 7 naenda kumtembelea kazini kwake huko mwanza mwezi wa 12 nakuta anamimba ya mkuu wake wa idara.[emoji848]
Usihukumu chuo, hukumu tabia ya mtu binafsi.Kuna dogo mmoja yuko chuo cha kati mkoa niliopo, amebaki chuoni kipindi hiki cha likizo kwa changamoto za nauli( Huezi kusema angekua wa kishua ashindwe kurudi home Imagine nauli za ulaya , ndio ushindwe ndani ya nchi yako).Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Ahahahahahha hapo mkuu hamna jambo tena tayar mtoto kashaaanza kulowaKuna wangu kaenda chuo ndo yupo mwaka wa kwanza tayari mawasiliano yameshaanza kuyumba
Ni swala la muda tu
Mkuu unaonekana uko sensitive sanaMY RULE: As soon as my heart start worried about a woman I am in a relationship with, I leave her
Dah!!inauma sanaAhahahahahha hapo mkuu hamna jambo tena tayar mtoto kashaaanza kulowa
Sent using Jamii Forums mobile app