mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
SanaKupitia comments zako inaelekea umepigwa sana na vitu vizito kchwani [emoji23] pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaKupitia comments zako inaelekea umepigwa sana na vitu vizito kchwani [emoji23] pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui hakusoma hata boarding school akajioneaUsiku anakuwa na jamaa. Huyo akimaliza chuo akiwa hana kazi ndiyo ataanza kupatikana usiku.
Ulifanya makosa sana kumtolea mahari.
Wanawake wa chuo wanagongwa sana na wenzao.
Hauna mchumba hapo una kiburudishoWadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Moja ya kipimo cha mpenzi au MTU mko mahusisno ni pomoja na kushtua na simu za usiku kama mnaishi mbalimbali. Ukiona hazipokelewi au haongei kwa uhuru basi jua huna chako. Kijana kama umewekeza hapa basi jua hiyo ni total loss.Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Elimu ya kujitambua ndo msingi mkuu kwanzaMkuu sio Kila mtu anaweza kukabiliana changamoto zake, tatizo unaloliona wewe dogo Kuna mwenzio limemshinda
SawaMkuu hii ni childish comment ever seen
Wadau tupeane uzoefu kidogo, nina mpenzi wangu au niseme mchumba maana hata kwao nimepeleka mahari, huyu dada ni msukuma wa Lunzewe, yupo chuo cha Mkwawa Iringa mwaka wa mwisho!
Tatizo linakuja usiku hapokei simu kabisa. Nikimuuliza anadai huwa anachoka, akipata tatizo la pesa anapiga simu hata usiku wa manane, ila nikiwa nashida nae mimi simu hapokei!
Kwa wale mliopita chuo hiki naombeni uzoefu wenu kuhusu tabia za wadada wanaosoma Mkwawa nisiendelee kupigwa!
Mchumba anasomeshwa cherehani tu mkuu[emoji4]
Hapo umekula hasara kubar tu
AKHSANTE SANA MKUU
Angalia usije uwawa kwa kuitiwa mwiziAKHSANTE SANA MKUU
Ila nimeamua kumsafiria aiseee na hapa nipo njiani kwenda DODOMA