Ushauri: Nina mchumba anasoma chuo cha Mkwawa Iringa, napitia magumu sana!

Kuna mzee mmoja(RIP) alikuwa anashauri katika mazingira kama haya MIMBA ndo suluhisho. Yeye alikuwa na binti mzuri kweli, alimpa mimba ya kwanza miezi tisa kajifungua hajakaa vizuri akamtandika ya pili.

Sasa na wewe pale first year angeenda akiwa na ya miezi 3 mpaka ajifungue mwaka umeisha akirudi hajakaa vizuri mwaka wa pili akija likizo tu anabeba nyingine. Hata kama akigawa ila ni wako huyo utapigiwa simu asubuhi mchana jioni.

Mwanaume hutakiwi kulia lia na masimu, yeye ndo anatakiwa aogope kukupoteza, mahari umetoa wewe na wewe ndo unagharamia kwann usiwe kiburi jeuri?
 
Watu wengine bhana!!Yaani umeshaona manyoya na bado unaomba ushauri?!
 

So sad …duuh
 
Mapenzi matamu pesa isipo husika mkuu pole pole sana mchumba wako ni mke wa mtu ....ushauri mchumba hasomeshwi..
 
Aisee pole Sana mkuu. Unakutana Ana mimba. Mie nadai fidia za pesa, emotions,muda and energy ya kumuwazia akikataa ndio atajua tu wanyama sema tunaongea ndio tofauti yetu
 
Unaoaje mtu anasoma aseee!!, uliona ukitoa mahari baada ya yeye kumaliza shule kwamba utaibiwa. Mwanamke wa kisukuma akishapata mwanga wa mjini huwa ni lazima akengeuke. UNATOMBEWA MKUU, THAT'S OVER!!
 
Mkuu hebu tupe mrejesho imekuwaje baada ya wewe kwenda Dodoma?

Au ndo ulivyo fika ukapewa Tunda ukasahau kila kitu?
 
Usihukumu chuo, hukumu tabia ya mtu binafsi.Kuna dogo mmoja yuko chuo cha kati mkoa niliopo, amebaki chuoni kipindi hiki cha likizo kwa changamoto za nauli( Huezi kusema angekua wa kishua ashindwe kurudi home Imagine nauli za ulaya , ndio ushindwe ndani ya nchi yako).
Sasa kila ikifika saa 1 mpka saa tano anakuambia nilikua kwenye kipindi cha dini Chuoni .Mda huo umekua ni costant kabisa kila siku na nishajiongeza kua hapa kuna kitu sio bure
 
Bro ! You better quit ASAP & before it's too late!!It's obviously that you won't be able to withstand the aftermath !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…