Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

Huwez kua na hela hyo wew,acha imagination,..wew kama ume bet jackpot na una imagine ukishinda ufanyie nin hela sema,700m huwez kua na mda hata wa kutype
 
Vijana maisha yametupiga kweliji, mtu hadi unajisingizia utajiri. Kakutana na wana Jf vituko..Ngoja nikae hapa nicheke
Alipoharibu ni hapa alipoweka mpaka makumi na vishingi vyake. Kwa hali ya kawaida mtu akiwa anazungumza kiujumla kuhusu fedha aliyonayo, huwa haweki exactly figure kama alivyofanya. Nadhani yeye ameona ndiyo njia itakayowapumbaza watu.
 
Ila kama upo siriaz fanya kitu kimoja. Nenda bacrays bank fungua fixed acc alafu uwe unakula faida kila mwezi hutakosa milioni kumi faida alafu ishi kimwinyi asubuhi hadi jioni ni kahawa na kucheza bao tu huku mama nyumbani anashinda na kanga moja bila kufuli. Maisha ndio hayo kijana.
Umenikumbusha jamaa yangu mmoja. Yete alirithi utitiri wa frem za maduka. Alikuwa kazi yake ni kuvaa vizuri sana, kula vizuri sana na kuchukuwa wanawake wakali sana. Kutwa ameshinda kijiweni huku ameulamba vizuri sana. Haikuchukuwa muda wenye maduka wote wakahamishia maduka yao Kariakoo (kipindi inaanza), jamaa akabaki na frem tupu. Alibadilika akawa mdogo kama piriton. Kila mtu alimuonea huruma alivyochakaa.
 
Sema fixed acc kama sio mvumilivu hutaweza maana kuna walimu wakistaafu huwa wanagawa pesa ya kustaafu kiasi wanaweka fixed acc kinachobaki anatumia . Sasa akimaliza za matumizi huwa wakali balaa wakienda bank wanavunja fixed acc ndani ya muda mfupi wakipewa ushauri wanakuwa wakali wanasema kwani zako si pesa zangu. Hivyo inahitaji nizamu ya matumizi ili uendelee kufaidi matunda.
 
Waalim wengi naowajua waliostaafu wameishia pabaya. Kuna kama mmoja alipata milioni 80 akajenga nyumba na nyingine zote ulevi. Unajua hakuna kitu kibaya kama kupata fedha nyingi kwa wakati mmoja. Fixed account kama una mpunga unaweza kukupatia si chini ya milioni 5 kwa mwezi ni fedha nzuri tu. Japokuwa kuwa wenye hoja kuwa ukiwekeza kwenye biashara itazaa zaidi lakini kama hujui biashara inaweza kupotea. Njaia nyingine tena nzuri ni kutafuta eneo prime ukajenga nyumba za kupangisha za bei ndogo. Thamani ya fedha yako haitapungua bali itazidi.
 
Kama kweli umepata hiyo pesa na umeshahama mkoa umehamia mjini na haujuwi ufanyenini basi mpaka hapo umeshafeli, ndani ya miaka mitano utakuwa maskini. Wazazi tuwafundishe kazi watoto wetu tukifa tusiwaache janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umehamia Dar alafu umepanga chumba huku una Mil 774 na laki 5, ahya bhana!

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
ndio, kwani kuna ajabu hapo?

ulitaka akakae nyumba ya kulipa 600k mwa mwezi? awali ni awali hakuna awali mbovu
 
Wazazi wote hapa duniani wakiwafundisha watoto wao kuhusu uwekezaji na biashara-ndio itakuwa dunia gani hiyo,kwenye maisha kuna mgawanyo wa majukumu watu wote hawawezi kuwa investors au wafanyabishara.

Ndio maana katika post yangu hapo juu nimemwambia lazima tujuwe baadhi ya vitu kuhusu yeye ambavyo hajavieleza
ni kweli, nani atafanya kazi zingine kama wote tukiwa investors?
 
Sema fixed acc kama sio mvumilivu hutaweza maana kuna walimu wakistaafu huwa wanagawa pesa ya kustaafu kiasi wanaweka fixed acc kinachobaki anatumia . Sasa akimaliza za matumizi huwa wakali balaa wakienda bank wanavunja fixed acc ndani ya muda mfupi wakipewa ushauri wanakuwa wakali wanasema kwani zako si pesa zangu. Hivyo inahitaji nizamu ya matumizi ili uendelee kufaidi matunda.
10 million per month uache kua mvumilivu? ??
 
Acheni masihara bwana, mtu ana 700M aje kuomba ushauri JF seriously!, kama changamsha genge sawa. Ushauri amtafute madam sepetu yule anajua pangilia pesa itumiwe vipi! 😎
 
Back
Top Bottom