Ushauri: Nina Milioni 700, nizifanyie nini?

Habari wana jamvi, ni matumaini yangu kwa uwezo wa yeye tumtumainiaye wote ni wazima wa afya.

Ama baada ya salamu, kama jinsi thread inavyojieleza wandugu nina suala nahitaji mawazo na ushauri wenu, ingawa sina hakika kama wachangiaji watakaochangia watanipa ushauri unaofaa au la.

Kwa utashi nilionao, naweza kuchukua yale ambayo nitaona yananifaa, na kwa yale ambayo hayatonifaa nitaweza kuyaachia humu humu jamvini.

Wana ndugu, mimi nimerithi mali na pesa taslim, ambazo kulingana na mkanganyiko na sintofahamu kutoka kwa baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki, nililazimika kuziuza zile mali zote ili kuziba mianya ya utapeli na dhuluma ambazo niliziona.

Kwa ujumla nimepata shilingi milion mia saba na laki saba (774,533,212) nilikuwa Mwanza imebidi nihamie Dar, nimepanga chumba.

Kwa wenye uzoefu; je, nifanyie nini hizi fedha?

umesema milion mia ngapi na laki ngapi vile tena vile....... 😆 😆 😆 😆 😆 😁😁
 
huyu naye anataka kutuumizia vidole tu...inammaana haujui uifanyie nini hiyo...unatudanganya umepanga chumba...tangu lini mtu mwenye hiyo hela akapanga chumba.....hii ni chai tena ya tangawizi na limao kabisa.......

ushauri wangu zitengenezee frame uziweke uwe unaziangalia tu....
 
Habari wana jamvi, ni matumaini yangu kwa uwezo wa yeye tumtumainiaye wote ni wazima wa afya.

Ama baada ya salamu, kama jinsi thread inavyojieleza wandugu nina suala nahitaji mawazo na ushauri wenu, ingawa sina hakika kama wachangiaji watakaochangia watanipa ushauri unaofaa au la.

Kwa utashi nilionao, naweza kuchukua yale ambayo nitaona yananifaa, na kwa yale ambayo hayatonifaa nitaweza kuyaachia humu humu jamvini.

Wana ndugu, mimi nimerithi mali na pesa taslim, ambazo kulingana na mkanganyiko na sintofahamu kutoka kwa baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki, nililazimika kuziuza zile mali zote ili kuziba mianya ya utapeli na dhuluma ambazo niliziona.

Kwa ujumla nimepata shilingi milion mia saba na laki saba (774,533,212) nilikuwa Mwanza imebidi nihamie Dar, nimepanga chumba.

Kwa wenye uzoefu; je, nifanyie nini hizi fedha?

Npgie nkup mchongo 0715767420
 
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Comments za wananchi sasa
 
nashauri subiri kwanza mpaka zifike bilioni moja halafu utukumbushe tena humu tukushauri cha kufanya
 
Habari wana jamvi, ni matumaini yangu kwa uwezo wa yeye tumtumainiaye wote ni wazima wa afya.

Ama baada ya salamu, kama jinsi thread inavyojieleza wandugu nina suala nahitaji mawazo na ushauri wenu, ingawa sina hakika kama wachangiaji watakaochangia watanipa ushauri unaofaa au la.

Kwa utashi nilionao, naweza kuchukua yale ambayo nitaona yananifaa, na kwa yale ambayo hayatonifaa nitaweza kuyaachia humu humu jamvini.

Wana ndugu, mimi nimerithi mali na pesa taslim, ambazo kulingana na mkanganyiko na sintofahamu kutoka kwa baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki, nililazimika kuziuza zile mali zote ili kuziba mianya ya utapeli na dhuluma ambazo niliziona.

Kwa ujumla nimepata shilingi milion mia saba na laki saba (774,533,212) nilikuwa Mwanza imebidi nihamie Dar, nimepanga chumba.

Kwa wenye uzoefu; je, nifanyie nini hizi fedha?
Ngoja nikushauri kitu mkuu, hizo pesa ni nyingi sana kwa mtu ambaye hajawahi kushika kuanzia milioni 50 na kuendelea, nachokushauri usikurupuke kuwekeza hyo pesa cz kwa uzoefu tu wa kawaida biashara yenye msingi imara ni ile yenye mizizi iliyoenda chini zaidi, hapa namaanisha ni ile biashara ambayo mtu alianza nayo tangu ikiwa na mtaji mdogo (kulingana na historia ya mtu), hapo mtu atakuwa ameijua vyema nje ndani kulikoni ile ambayo mtu anaanza na mtaji mkubwa.

Ushauri;

Nakushauri uchukue milioni 600 katika hiyo pesa ukaiweke fixed account kwa miaka japo 3 ktk benki unayoiamini (napendekeza CRDB au NMB) japo pia ni muhimu kuangalia na kujiridhisha katika riba zinazotolewa na benki husika hata km co hzo nilizozipendekeza, so benki itakayokuvutia kwa riba nenda ka invest hapo, zile milioni 100 na laki 7 zilizobakia chukua milioni 50 nenda kajenge nyumba ya kupangisha itakuwa inakusaidia mia mbili mia tatu, zen kwenye hiyo milion 50 na laki 7 iliyobaki chukua milioni 30 jenga nyumba ya kuishi ww binafsi ndogo ya wastani, hapo itabaki milioni 20 na laki 7 fanya biashara utakayoona unaiweza nadhani mpk umri uliofika utakuwa unayo kichwani biashara ambayo unaiweza (be care usiingize yote hiyo milion 20 na laki 7 anza taratibu), baada ya miaka mi3 ile pesa yako kule benki itakuwa imezaa vya kutosha na wakati huo huo utakuwa ushatuliza akili yako so utajua ufanye nini.

Kila la heri Mkuu.
 
Back
Top Bottom