Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Wengine wamepata Kwa kustukiza URITHI KUBETI hivyo sio wote wanamiliki washauri wa biasharaWenye mtaji wa Milioni 200 haombi ushauri jamii forum,wanakua na washauri wao wa kibiashara,huku ni wale wa nina mtaji wa Milioni moja nifanye biashara gani
Tafuta watu wengine wa kutapeli, hadi umeipata hiyo 200mil. means wewe sio mtu wa kuuliza maswali ya aina hii mitandaoni.., ungekuwa na jopo la consultants binafsiKama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu
Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.
Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
Mkuu unikumbuke kwenye kibaruaKama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu
Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.
Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
IST 5=50mil200 utanunua magari gani? Labda spare
0659756647Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu
Pia,kama kuna mtu ambaye ni mzoefu na anaweza kunisimamia hiyo biashara asisite kuniambia hasa hasa hawa majobless waliomaliza vyuo wanicheki Tafadhali.
Eneo la biashara nimelipata lipo kimara stop over
Mkuu ungeniambia tarehe yako ya kuzaliwa na mwezi wako wa kuzaliwa ningekwambia ufanye biasara gani ambayo itakayo weza kukutajirisha. Ukitaka nifuate PM.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni wataalamu mnipe ushauri biashara ya kuuza magari kwa sababu nataka kujipanua zaidi kibiashara baada ya biashara ya madini,kilimo na real estate kuifanya kiusahihi kabisa nataka kufanya biashara nyingine na biashara niliyoichagua ni biashara ya magari naombeni ushauri wenu