OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hoja hapo ni kwamba atakuwa ameficha mangapi?Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
We mwanamke wa ajabu sanaKwa mtu mwenye akili timamu, rijali, aliyepitia malezi bora ya wazazi wote wawili hawezi kuacha mke aliyeishi nae miaka 15 na kuzaa nae watoto wanne kisa alimficha kua alizaa kabla, hilo ni kosa dogo sana na linazungumzika.....
Na kama mtu hayupo tayari kuzungumza ya nyuma kwanini alazimishwe??? Kila binaadam ana siri yake na maamuzi yake yanapaswa kuheshimiwa, huwezi jua hilo tukio lilimuumiza vipi akaamua kulifukia na kuanza upya.
Sidhani kama imefikia ubinafsi wenu kwenye hii postWanawake wabinafsi sana yaan mimi mmeo sista hili kumjua mke wangu really.
Kama ww ni demu na umeolewa dah alieoa kapata hasaraaExcellent kabisa haya ndio maamuzi ya Mwanaume rijali, hakika hapa ndio tunaona tofauti kati ya waliotahiriwa hospital na waliotahiriwa porini.
Marijali wanaelewa, ukiwa pungasese lazima uone unaonewa.Kama ww ni demu na umeolewa dah alieoa kapata hasaraa
Dogo kwako,kuishi na binadamu aliyemficha mtoto kwa miaka 15 yataka moyo sana,ni mangapi amekuficha kwa mwendo huo??Sababu lazima anayo, hayo ni mambo yanayoongeleka na sio kuvunja ndoa, angemfumania hapo sawa ila sio hilo ni dogo sana kikubwa ni kumpa nafasi atoe sababu zake.
Au na ww umemficha mumeo maana unalazimisha lionekane ni kosa dogo,hilo kosa kwa mwanaume yoyote mwenye akili timamu halina msamaha,linazua maswali mengi,hoja siyo mtoto ila ni udanganyifu kwa miaka yote tena ww na familia yako,yaan mpaka wazazi wako na ndugu zako wengine nawaona si wema kwangu,siwez kuishi na familia ya hivyo mimi!Kwa mtu mwenye akili timamu, rijali, aliyepitia malezi bora ya wazazi wote wawili hawezi kuacha mke aliyeishi nae miaka 15 na kuzaa nae watoto wanne kisa alimficha kua alizaa kabla, hilo ni kosa dogo sana na linazungumzika.....
Na kama mtu hayupo tayari kuzungumza ya nyuma kwanini alazimishwe??? Kila binaadam ana siri yake na maamuzi yake yanapaswa kuheshimiwa, huwezi jua hilo tukio lilimuumiza vipi akaamua kulifukia na kuanza upya.
Binadamu unayeweza kusahau mtoto uliyemzaa mwenyewe kwq uchungu,vipi mm tuliyekutana ukubwani??Kwanini nisimuamini?
Jamani kila Mtu ana siri yake kama ameamua kuitunza as long as haikuwahi kuniletea madhara yoyote si basiiiii,
Tena haya mambo ya Mwanamke kuondoka mahali na kuacha mtoto kisha akaja kuolewa sehemu nyingine na kuzaa, mara nyingi huwasahau wale watoto wa mwanzo na kufocus na family mpya, hadi mtoto aje amtafute na hii sio kwa Mwanamke tu hata kwa Wanaume hutokea,
Mimi naona mnakuza vitu ambavyo kimsingi havina mashiko.
Au na ww umemficha mumeo maana unalazimisha lionekane ni kosa dogo,hilo kosa kwa mwanaume yoyote mwenye akili timamu halina msamaha,linazua maswali mengi,hoja siyo mtoto ila ni udanganyifu kwa miaka yote tena ww na familia yako,yaan mpaka wazazi wako na ndugu zako wengine nawaona si wema kwangu,siwez kuishi na familia ya hivyo mimi!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Always calculate your risk!!Binadamu unayeweza kusahau mtoto uliyemzaa mwenyewe kwq uchungu,vipi mm tuliyekutana ukubwani??
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Umeng'ata na kupuliza
Sio kutaftiana sababu ila kichwa kinaweza sizii sababu ya mawazo,,,,kama jambo kubwa hivo mtu alikuficha unawaza ni mambo mangapi sijui kuhusu yeye????Umeishi na mtu kwa miaka 15, mmezaa watoto 4, unakuja kumuacha kisa hakukwambia kua aliwahi kuzaa kabla!!?
Ukisikia kutafutiana sababu ndio huko sasa.
Ndiyo. Inategemea mtu mwenyewe yukoje, wapo ambao ukiwaambia ishu zako mkiparangana zinapata airtime.Hivi mtu uliyempenda unaweza mficha kitu.
Umebadilika eeKuna ukweli lakini